Miaka 52 ya Uhuru na Umeme wa kupapasa.

BWANANDUGU

Member
Jan 1, 2014
28
0
Ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa bei mpya ya umeme,nimejiuliza maswali mengi sana. Baadhi ya maswali ni haya;MOSI,umeme wa uliopandishwa bei ni upi?,ni huu unaogawiwa kama nyama robo kwenye familia ya watu kumi?,PILI;hivi ule waliosema unapelekwa vijijini ni upi?,ni huuhuu ambao unapatkana kwa tochi?.TATU;TANESCO wanafahamu tofauti kati ya kupeleka umeme mahali na kupeleka nyaya za umeme mahali?,NNE,ni kweli kuwa kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru bado tunasujudu ili kupata huduma hii?. Nimekuwa nikiwasikia wanasiasa wakisema nchi hii imepiga hatua kubwa kimaendeleo,lakini ukijaribu kuangalia wanachojivunia ni mambo ya miaka mi5 au kumi kwa serikali makini na yenye watu wanaojuwa maana ya maendeleo.
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,771
2,000
Weka picha mkuu.

Kweli mjepo wengine hatuelewi mpaka picha.

Kama hawezi ku-Upload aniambie nimsaidie.

Ila Tuache masihara Bei Mpya ishaanza jana.

Ila Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele.

No-photo-Available.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom