Search results

  1. jonnasy

    Khaa power Dynamo FC hawajachukua ubingwa miaka 8!

    acha ufala amechukua 2000 na 2011 according to your link wikipedia na mechukua mara 6 huku zesco mara 7 na nkana 12
  2. jonnasy

    Msaada: Nikinywa kinywaji cha barid jino linaniuma sana

    hiyo ni dalili ya mwanzo ya jino kutoboka cha kufanya badilisha dawa ya meno tumia sensodyne protect and repair hali hiyo kitaalamu huitwa tooth sensitivty pia muone dentist alifanyie filling
  3. jonnasy

    Kuna haja ya Sports Pesa Cup? Walioshindwa kufuzu wanacheza na timu bora kuliko ile ya waliofuzu

    hivi simba imepata nafasi sababu sio ya kuwa bingwa wa vpl sababu ni ya kufika robo fainali ya sportpesa 2017,fainali 2018 na robo fainali 2019
  4. jonnasy

    Tusijifanya tumesahau na si vibaya sana kama sote tukajikumbusha juu ya haya ' Maajabu ' ambayo hadi leo hayajafutika Jangwani

    duh kwa hiyo hatujavunja rekodi adimu za ndala ngoja nitembee kifua mbele vipi ile ya raja cassablanca 6 ndala 0
  5. jonnasy

    Soka Letu liko katika Hali tete sana

    duh as saura ndo timu gani ni js saoura na aggregate simba 3 js saoura 2 we hata mpira hujui
  6. jonnasy

    TUNDU LISSU: Kuporwa kwa mafao ya Wafanyakazi ni dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

    message from our beloved brother to all Tanzanians may god heal him from head to footstep amen
  7. jonnasy

    Kifo cha Chadema kimewadia

    mzee hutangulia kufa kijana hufuata sasa nani mzee na nani kijana kati ya ccm na chadema?
  8. jonnasy

    Esther Matiko(Mb) CHADEMA afanya kufuru kwenye mkutano wa hadhara Tarime

    ndio wapiga kura wa kesho ulitaka kuwaona wazee wanokufa kesho
  9. jonnasy

    Kiteto-RC Mnyeti arejesha watoto wa mtaani 500 shuleni

    kwa elimu hii ya tanzania waacheni tu wasisome maana haina maana for 17 years i spent on class sioni chochote ilichonisaidia elimu ni kkk (kusoma kuandika kuhesabu) ndio nilichogain basi ila kuhusu kiuchumi imenidumaza sana
  10. jonnasy

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Unaweza kuwa na wachezaji wazuri kama simba lakini kochà huna Tanzania haina kocha
  11. jonnasy

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Show me your friends i will tell who you are his friends are kagame the dictotor ,museveni the dictoctor,kabila the dictator probably he be like one of them
  12. jonnasy

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    ushahidi upi sasa maana tundu lissu ndio ushahidi wenyewe leteni cctv tuone
  13. jonnasy

    Naomba kujua nani mtu mashuhuri katika siasa za Tanzania

    our beloved brother Mr lissu makofidence
  14. jonnasy

    Makonda: Ningekuwa na uwezo ningewafukuza kazi maofisa biashara wote Dsm!

    Bwana mdogo hajitambui yeye ni nani no Wonder anaitwa bashite ni kweli zero brain
  15. jonnasy

    Sijawahi kushuhudia wapinzani wa aina hii katika maisha yangu

    Sijawahi kuona serikali ya hovyo kama kila siku matamko na kufukuzana tu bado miaka 2 tu sasa matamko tu
  16. jonnasy

    Watu wasiojulikana wamvamia na kumkata mapanga dereva wa Mbunge wa Tarime, John Heche

    tumechagua kuishi kama simba na swala tujitafakari haiwezekani kauli ya wasiojulikana itugawanye kiasi hiki anyway usiku umeendelea sana na mchana umekaribia
  17. jonnasy

    Je hapa rais Magufuli alikuwa anatania?

    Mdomo bhana unaweza ongea lolote bila kujali litafanyika vipi
Back
Top Bottom