Search results

  1. L

    Mazishi ya mwanafunzi aliyejipiga Risasi

    Baada ya mwendo wa saa moja kwa gari tumefika Mererani eneo kitongoji maarufu cha Cairo ambako John Justin NDossi atapumzishwa milele. Itakumbukwa marehemu alijipiga risasi kifuani nyumbani kwao Levolosi Arusha baada ya kutuhumiwa kuiba dola 1500 za baba yake. REST IN PEACE JOHN.
  2. L

    Gari lazama Pharmacy

    Alasiri ya tulishuhudia gari dogo aina ya Caldina likitoka kasi ndani ya mahakama ya Maromboso hapa mjini Arusha na kuzama ndani ya duka la dawa. Majeruhi 2 hawakuumia sana zaidi ya majeraha ya vioo vilivyowapasukia.
Back
Top Bottom