Search results

  1. C

    dont fall for this

    hi, here's something funny to make u smile.... nothing serious...just something to laugh about.... have a good day!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  2. C

    dont fall for this

    hi, here's something funny to make u smile.... nothing serious...just something to laugh about.... have a good day!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. C

    Nyumba ya Kupanga Inahitajika

    Re: Nyumba ya Kupanga Inahitajika Nyumba ya Kupanga Inahitajika Wanajamii, Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama iwe karibu na makumbusho au sayansi, Sinza iwe karibu na bamaga au chuo cha ustawi wa jamii. Iwe na chumba kimoja cha kulala, sitting room, bafu, choo na Jiko. Gharama isizidi...
  4. C

    Nyumba ya Kupanga Inahitajika

    Nyumba ya Kupanga Inahitajika Wanajamii, Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge. Iwe na chumba kimoja cha kulala, sitting room, bafu, choo na Jiko. Gharama isizidi sh. 60,000 kwa mwezi. Nipo tayari kulipia kwa miezi 6. Tafadhali kama unafahamu naomba unitumie email through...
  5. C

    Mpenzi asiyekupenda na kukujali atakufanyia haya ...

    hey wewe first lady haya umewahi kuyapitia au? honest mimi hayo niliyamfanyia mchumba wangu lakini bado hajakata tamaa ya kutengana na mimi ndo kwanza kanipigia na kuniuliza ndoa lini. Hiyo kweli hatari
  6. C

    msaada tutani

    nikimfuata si ndo atanililia mpk basi jamani maana ndugu zake walishaniambia kuwa toka amekuwa na mimi ametulia so nisimkoseshe raha sasa nitafanyaje na je si anaweza kucomiti suicide nikiwepo then si nitapata mada kesi jamani
  7. C

    msaada tutani

    haya hebu nielezeni wana jamii nianzaje kumwambia kuwa mimi na yeye basi maana yeye yupo nje ya tanzania je nimuite anifuate ndo nimwambie, na alishawahi kutaka kuja mahali mimi nipo nikamkatalia yaani ahamie kabisa tanzania mimi nikamwambia hapana asubiri mpaka mimi nitakapo sema, nipe ushauri...
  8. C

    msaada tutani

    morning jamani asante kwa msaada ukweli nilikuwa nafikiria kumwambia kuwa siwezi kuendelea kuwa naye. na kingine huyo demu niliyekuwa naye hanitegemei kwa lolote maana kama kazi anayo kazi yake nzuri na ameshajijenga vizuri tuu so i dont think if she want to kunichuna mimi.
  9. C

    msaada tutani

    kiuno anakata sana ila ndo hivyo yaani naona niko kama nafanya mapenzi na dada yangu.Na mbaya zaidi ni kwamba nimeshamchukia na huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi itakuwa ni ugomvi kila siku maana kwa sasa hata sina naye mawasiliano zaidi ya yeye ndo huwa ananipigia na akitaka kuonana na mimi...
  10. C

    msaada tutani

    si hivyo kimey nipo kwenye njia panda maana hata huyu demu niliyenae nimeanza kumpenda siku za karibuni na pia nafikiria jinsi nitakavyomwambia huyu mchumba wangu maana alishatishia kunywa sumu kipindi fulani nilitaka tuwe kaka na dada kutokana na hili tatizo linalotuface kwa sasa
  11. C

    msaada tutani

    kimey sikia hata kama yeye hapati raha mimi napata raha isiyo kuwa na kifani na ukweli siwezi kupitisha siku bila kufanya na mapenzi isipokuwa simba wakiwa uwanjani huwa hatufanyi. Na pia nilishamchukia mpenzi wangu na hata tukilala wote siwezi kufanya naye mapenzi zaidi ya kukumbatiana na wala...
  12. C

    msaada tutani

    kwenye tendo la ndoa hakuna anayesikia raha si yeye wala mimi. na nimeshajaribu kuongea naye ila ndo na yeye akaniambia kuwa hata yeye mwenyewe huwa hasikii raha ya kufanya mapenzi
  13. C

    msaada tutani

    carmel naomba unielewe toka naanza uhusiano naye ilikuwa haturidhishani tukajua kuwa tukishajuliana mambo yatakwenda sawa sio kwamba baada ya kupata demu mwingine ndo nimemuona yeye si mtamu hapana nieleweni wana jamii
  14. C

    msaada tutani

    habari za jioni wana blog ya jamii, nipo hapa kuomba msaada kuna kitu kina nisumbua mimi niko na demu ambaye ni mchumba wangu ila tatizo ni kwamba tukiwa kwenye tendo lile la baba na mama (tendo la ndoa) hata hakati kiu yangu hali kadhalika kwake hata mimi sikati kiu yake, nimeshataka kuachana...
Back
Top Bottom