Search results

  1. NGOSWE2

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    Ndio maana nilikuuliza kama unajua, nashukuru kwa kuwa umeonyesha kuwa haujui ulichoandika. Kiufupi ni kwamba hiyo misaada inayotolewa na serikali kuna pesa ya CHADEMA , CUF,NCCR, ACT ,CHAUMA,CCM nk. Ukisikia serikali iliypo madarakani ujue pia ina vyombo au taasisi zinazokusanya kodi kwa ajiri...
  2. NGOSWE2

    Kwanini CHADEMA huwa inashindwa kusaidia wananchi hata kilo moja tu ya sukari wanapopatwa na matatizo?

    Umesahau kuwa hao wanachama wa CHADEMA ni Watanzania na wanalipa kodi kwa serikali inayongozwa na CCM? Au haufahamu nini maana ya kodi inayolipwa na kila mwananchi?
  3. NGOSWE2

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Hajakosea, bali anaufahamisha umma kuwa ukisikia mtu kapotea ujue wamempoteza wao. Pia kaenda mbali kuwajulisha kuwa wao hawaujui utawala wa sheria hivyo, Polisi wasihangaike kujua nani kapotea. Mdomdogo nchi inatumbukia.
  4. NGOSWE2

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Dar kama hauna akili utajuta. Wenye kujua maana ya rasilimali watu wanaishi kama wafalme.
  5. NGOSWE2

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Itoe elimu juu ya uwekezaji. Na sio kumlazimisha mtu kuwekeza sehemu asiyotaka kuwekeza kwa kukata pesa yake. Uwekezaji hauko hivyo! Mfundishe mtu apate elimu achague sehemu ya kuwekeza. Kuna maeneo mengi ya kuwekeza na ukapata faida. Hauwezi kumchagulia mtu awekeze wapi, bali mfundishe mtu...
  6. NGOSWE2

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    HIli linaumiza sana. Wazee wengine wakifikia kustaafu wakikutana na kikokotoo, huishia kuumwa kiharusi na kisukari. Hawachukui muda mrefu wanakufa. Labda ndio mpango uliopo wa kuwaondoa wazee hawa kwa magojwa ya moyo, kupooza na kisukari? Hili si sawa kabisa.
  7. NGOSWE2

    Tusinunue vitu Used jamani

    Kazi kwelikweli!
  8. NGOSWE2

    Eid Mubarak to all Muslims

    Hawa jamaa upande wa wali ni shida.
  9. NGOSWE2

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Kama muda kwao umekuwa limited kwa nini walazimishe!
  10. NGOSWE2

    Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Kaishafanya uchunguzi na majibu yake ndio hayo aliyotoa. Yatakayofuata baada ya hapo yatakuwa ya uongo haijalishi katoa nani.
  11. NGOSWE2

    Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Kwa nini waende Beach wakati wa swala?
  12. NGOSWE2

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Mkikosa cha kuandika, jaribuni kuwatafuta raia watawapa habari za kuandika. Huko mitaani kuna kero lukuki. Watawapa habari za kuandika tena za maana kuliko hizo habari zenu.
  13. NGOSWE2

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Ukikulia sehemu moja bila kutembea madhara yake ndio hayo sasa. Arusha kama Washington! Arusha kama Dubai! Hata aibu hauna!
  14. NGOSWE2

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Mimi najiuliza! Huyo aliebomolewa havioni viwanja visivyo na mgogoro? Mbona viwanja vyake vingi vina kesi! Shida iko wapi?
  15. NGOSWE2

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Haujaachwa mkuu! Hii ni dalili mbaya sana. Sijui wanataka kulipeleka wapi Taifa letu.
  16. NGOSWE2

    Mitaala mipya ya Elimu imelenga kukuza ujinga

    Ukisikia ujinga, huu ndio ujinga kweli.
  17. NGOSWE2

    Ni mimi tu au? Maji ya DAWASA ukinywa bila ya kuchemsha yanaumiza tumbo

    Anamaanisha maji yanayosemwa kuwa safi na salama sio ya DAWASA. 1. DAWASA maji yake ni machafu, wakati mwingine yanatoka meusi kabisa. 2. DAWASA maji yake si salama kama wasemavyo, ukinywa bila kuchemsha ujiandae kwenda kulazwa kwa matatizo ya tumbo.
Back
Top Bottom