Search results

  1. S

    Redio Free Afrika, magazeti na Kiswahili

    mbona tupo wengi sana wa namna hiyo?
  2. S

    Tahadhari watumiaji wa tigo!!

    mimi nawashangaa sana 900Mb kwa999 kwasiku lakini 2Gb kwa 6000 kwa wiki not relevant wakuu hata mm nimeshtuka sijui kwa nini Tigo wamefanya mabadiliko haya yasiyo na tija
  3. S

    Kova: Atakaye fanya uhalifu Dar es Salaam Atajeruhiwa au Kuuawa kabisa

    Hata mimi nilitaka kujiuliza vihi hili swala la Escrow nao ni uhalifu? na je hii kauli itatekelezwa na je limefanyika nje ya dar? na je kova analijua hilo .ok jamaa namkubali sana labda atalifanyia kazi hii ngoja tuone.
  4. S

    Fao la kujitoa PPF

    kwani anaye takiwa kuhakikisha pesa inaingia kwenye account yako ppf ni nani mwanachama au wafanyakazi wa mfuko wa jamii husika?
  5. S

    Usafiri Dar - Bagamoyo sasa kwa boti ya kasi

    watanzania wengi huwa tuna amin vitu katika picha .Basi tupia ka picha tafadhali
  6. S

    Kwa anayefahamu insignia-rank za askari wetu atushirikishe

    je lile la mtu mmoja la fid Q lenyewe vyeo vyake vikoje?
  7. S

    Mabenki na mikopo ya biashara kwa wahitimu

    Hawa airtel na wao ni wezi tuu na hii timiza yao nimejaribu kuifuatilia nikaona kuna dalili za wizi kwa mfano mtu unakopa au unalipa deni ili upate mkopo mkubwa zaidi lakini cha ajabu mara meseji za kuthibitisha kuwa umelipa na una qualify kwa mkopo mwingine hazifiki labda mpaka siku mbili na...
  8. S

    Malalamiko: Kampuni ya Tigo mnakera

    yaani hata mm baada tu ya kifurushi kuisha imekua kero yaani nikiongea nao huduma kwa wateja wanasema wanakutumia configuration lakini uki install bado tatizo linakuwa palepale sasa sijui wanafanya makusudi
  9. S

    Malalamiko: TIGO Tanzania

    cha wiki toka 8 Gb to 2G na cha siku 1Gb to 900mb
  10. S

    Wanaonata baada ya kupata pesa

    Inategemeana na hiyo pesa kaipata vipi?
  11. S

    Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    sasa katika mambo ya formula alchohol inakuwa presented na OH je hapa anasemaje H2O =HOH ?
  12. S

    Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    Bei ya dawa zake mi ndiyo nachoka kabisa utasikia 1M nakuendelea.
  13. S

    Rais Kikwete Matibabu Marekani: Story ya Jaribu Ujinga

    Nimepitia thread hii toka jana lakini leo nimeamua kuchangia kitu kiukweli Mh Raisi anaumwa na ana haki ya kimsingi ya kupata matibabu kieukweli namtakia mh dua njema na apone haraka ili aje kuliongoza Taifa ol best wishes mh Rais amir jeshi mkuu.
  14. S

    NIDA: Mwaka wa pili sasa nasubiri kupiga picha ya kitambulisho cha taifa

    mimi binafsi katika wapi ninao wakubali kihuduma ni hawa jamaaa wa Nida kwanza wamenijulisha kwa sms kuwa tarehe fulani natakiwa kwenda ofisini kwao kwa ajiri ya kuhakiki taarifa zangu na kupiga picha
Back
Top Bottom