Search results

  1. V

    Msaada wa ushauri

    Wanajamvi poleni na majukumu ya mchana kutwa, katika kukabiliana na hali halisi ya kuongeza kipato mbali na shughuli nyingine nizifanyazo nimefikia uamuzi wa kujenga ghala (warehouse) la kuhifadhia nafaka na bidhaa nyinginezo nimepata eneo msata huko bagamoyo lenye ukubwa wa 50mx25m sasa...
  2. V

    Msaada wa ufafanuzi juu ya athari za madawa ya kulevya

    Wakuu habari za asubuhi, ni matumaini yangu kuwa mko sawa na shughuli za kila siku, wakuu nimetafakari kuna masuala kadhaa nimeshindwa kupata majibu naomba msaada wenu kujua yafuataya; -Athari za madawa ya kulevya zinatokana na nini hasa matumimizi ya kupitiliza ya madawa?, utumiaji usiofuata...
  3. V

    Msaada bei ya kukodi greda la kuchimba barabara

    wanajamvi mwenye kujua sehemu ambayo naweza kukodi greda la kuchonga barabara na la kushindilia anijuze tafadhali pia kama anafahamu na rate zake iwe ndani ya wilaya ya kinondoni.
  4. V

    The saize of school girls in Nigeria

    The president of Nigeria, Goodluck Jonathan has spoken publicly for the first time about the abduction of more than two hundred schoolgirls in the northeast of the country. He admitted that Nigerian security forces still dont know where they are being held. He also said hi government has spoken...
  5. V

    Mtoto wa kupandikiza

    Wadau naomba msaada wenu, girl friend wangu amepata matatizo yaliyopelekea kutolewa mfuko wa uzazi kwa hali hiyo ni vigumu kushika ujauzito kama ndivyo je tunaweza kupandikiza mbegu na yai kutoka kwetu na mtu mwingine azae mtoto kwa niaba yetu? Msaada tafadhali pia ushauri.
  6. V

    Utungishwaji baada ya kuondolewa mfuko wa uzazi

    wanajamvi naomba kujuzwa, je kuna uwezekano mwanamke akapata ujauzito baada ya kutolewa mfuko wa uzazi? taaluma ya testtube babies ikoje? naomba kujuzwa tafadhali.
  7. V

    mkutano chadema iringa

    Wanajamii naomba mnisaidie huu ni mkutano wa siasa au shule?
Back
Top Bottom