Search results

  1. V

    Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    kaka mbona unabagua umesahau polisi wetu kibiti na raia wa eneo hilo?
  2. V

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    karibu sana vijana lazima tusaidiane na tushauriane inapobidi. mimi gari zangu huwa naagiza moja kwa moja japan na Singapore.
  3. V

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Ukishalipia kodi TRA, unatakiwa pia kulipa kwa kampuni ya uwakala wa meli iliyokusafirishia gari yako wanaita Delivery Order Fees inarange kati ya US$70-US$120, pia utalipa gharama za bandari wanaita port charges hii inategemea ukubwa wa gari kwa saloon ni kati ya 250,000 mpaka 500,000, pia...
  4. V

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Mkuu ongeza model code kama unaifahamu, Mfano XU/GSU 40/45, ili upate figure sahihi
  5. V

    Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Mimi hapa sikubaliani na hizo hoja, kiwango cha kodi kiko wazi wala hakuna kificho tena unaangalia kwenye mtandao wa TRA moja kwa moja kabla hata hujaagiza gari, shida inakua moja, TRA wana Motorvehicle data base price kwa magari karibu yote, shida iko moja, kama gari yako customs value kwenye...
  6. V

    Nimepata bahati ya kukaa meza moja na Bill Gates Tanga kayasema haya;

    Dah! ni kweli kabisa mimi mwenyewe imebidi nihangaike kivyangu, baada ya kukosa right guys, na nimefungua my own company, in a long run I will be someone, even getting manpower ni shida, people are not trustful nor hard working, guys we have a long way to go!!
  7. V

    Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    usimtishe mtu wewe toa maoni yako kwani wewe ni mbowe au mtei?
  8. V

    Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

    achana nao wala usiwajibu wasije wakahack information zako.
  9. V

    Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    waongezee na instagram
  10. V

    Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    dah hii ni duh hii nimeipenda ilitakiwa nikupe like 2k!
  11. V

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    nawashukuru wote kwa ushirikiano na ushauri, nimepata msaada mkubwa sana, kupitia mitandao ya kijamii, nimeunganishwa na watu ambao kwa kweli ni msaada mkubwa sana kwangu kwenye shughuli ambazo nataka kuzifanya shambani, mungu awabariki.
  12. V

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    ni kweli shamba ni heka 7 lote linatakiwa liwe na mbogamboga na matunda tu.
  13. V

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wanajanvi habari zenu, nina ndugu yangu anataka kuanzisha kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda hasa mapapai, ameshaanza kuchimba kisima kirefu kwa ajili ya umwagiliaji, swali langu ni kuomba kama kuna mwana janvi yeyote ambaye anafahamu soko katika nchi ya comoro likoje kwa uzoefu, kwani...
  14. V

    Matatizo ya Mfumo, Mizigo Yapungua Bandari DSM

    Bandarini kunahitajika marekebisho ya kina kuhusu uongozi mzima na watendaji zaidi ya 50% hawako competent, usishangae manager wa bandari (wharf) hajui maana na aina ya misamaa ya kodi? this is a shame!!! meneja haelewi anasababisha ucheleweshaji wa mizigo kwa uzembe halafu tunasema tuna watu...
  15. V

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Sio tetesi tena ni dhahiri, kaingizwa chaka kaingia mzima mzima.
  16. V

    Ajali: Mtu asiyefahamika amefariki baada ya gari lake kuteketea kwa moto Kibaha

    mmiliki halali wa hiyo plate number ya gari iliyoungua ni SABATHY JACKSON MAKUMBATI.
  17. V

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    wadau nasikia timua timua imeendela leo TRA ni kwe au uvumi, tujuzane.
  18. V

    Msaada wa ushauri

    Wanajamvi poleni na majukumu ya mchana kutwa, katika kukabiliana na hali halisi ya kuongeza kipato mbali na shughuli nyingine nizifanyazo nimefikia uamuzi wa kujenga ghala (warehouse) la kuhifadhia nafaka na bidhaa nyinginezo nimepata eneo msata huko bagamoyo lenye ukubwa wa 50mx25m sasa...
  19. V

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Kwa wanaonunua magari moja kwa moja kutoka japan epukeni kununua straight kutoka kwa suppliers kwani unaweza kukutana na supplier feki aliehack website na email za genuine supplier, nunueni kupitia tradecarview kwani hawa wanahold payments zako mpaka wahakikishe gari lako limetumwa ndipo...
  20. V

    Wananchi Rwanda waridhia Kagame kutawala muhula wa tatu

    Jamaa alipiga propaganda kuanzia jeshini kufanikisha hilo, kwani kwenye katiba yao kuna kipengele kinasema kama wananchi wanakukubali unaweza kuzishawishi mamlaka kukuongezea muda wa kipindi kingine baada ya kuisha kwa vipindi viwili vya awali kwani kipindi kimoja rwanda ni miaka 7 hivyo...
Back
Top Bottom