Search results

  1. M

    Pengo: Nchi imeoza!

    Jamani taifa lolote haliwezi kuendelea pasipo wakosoaji tena wakosoao kwa bidii.taasisi za kidini ndio hasa chanzo cha kupigania haki, uhuru na amani ya nchi yoyote.kwa mantiki hii ni kwamba jasho la church movements kipindi kile lisije likapotea bure kwa kutotambua jitihada zao. naili iwe hivyo...
  2. M

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    Kama ni laana basi aliyetulaani kafa. leo nasoma gazeti moja nashitushwa na habari hii ya ajabu mwarabu eti anahamishia majina ya kwao na kuleta kwenye inchi yetu. hata mtandao unakukaribisha Eti karibu kwenye jumuiya ya kiarabu jamani haya si matusi? tena ya nguoni baba gani bora atakubali...
  3. M

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    suala la presidar kusimama na kujibu maswali naona ameona ni njia ya kutuyeyusha sisi wanaharakati Nasi twasema hatuyeyushiki kwani Mweshimiwa ulikuwa wapi mwaka uliopita umeshituka nini? naona unasoma nyakati ila kwa wasomi hawa utajidhalilisha tuu. okay fine nadhani muda unao sasa wa kukaa na...
  4. M

    Kikwete 'live' TBC1 Sept 9, 2009

    Mweshimiwa anataabu kweli! na bado Mwakani tunataka live debates kama marekani najua tayari Rais umeandaa majibu mepesi kwa maswali magumu ila kwa hapo ulipo fikia hongera
  5. M

    majibu ya kikwete ya maswali haya hapa !

    namshukuru Mungu aliye niweka hai leo nashukuru sana kwa kukaribishwa vizuri jamiiforum asnte sana majibu katika maswali ya leo atakayo ulizwa mweshimiwa ambaye mi namwita muajiriwa wetu haya hapa a) ufisadi nami nauchukia, ila sasa swala lipo mahakamani hatuwezi kuingilia uhuru wa mahakama...
Back
Top Bottom