majibu ya kikwete ya maswali haya hapa !

Sep 7, 2009
5
0
namshukuru Mungu aliye niweka hai leo nashukuru sana kwa kukaribishwa vizuri jamiiforum asnte sana

majibu katika maswali ya leo atakayo ulizwa mweshimiwa ambaye mi namwita muajiriwa wetu haya hapa

a) ufisadi nami nauchukia, ila sasa swala lipo mahakamani hatuwezi kuingilia uhuru wa mahakama tuwe wavumilivu tuu mahakama itaamua kwa haki tuu

Wakubwa hawa wanachelewesha kesi hii makusudi ili tuone kwamba watuhumiwa wanashitakiwa.mwakani tuwachague, alafu waseme waheshimiwa hawa hawana hatia kabisa
 
Infact wasiwasin wangu ni kuwa kesi nyingi zita drag hadi uchaguzi halafu mtu anachiliwa akagombee tena kwenye jimbo lake. Zingine hazijaguswa kabisa eg Chenge na Chenga zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom