Search results

  1. emperor

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Nissan, Landrover na yale ya Korea
  2. emperor

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Ripoti ya CAG inaonesha kuwa Tume ya Ushindani (FCC) imefanya uchunguzi na kuwakuta kampuni za Toyota Tanzania Limited na makosa ya kula njama na kupanga bei ya magari mapya hivyo kufanya bei ya magari hayo kuwa juu kuliko kawaida. Kampuni hizo zimekiri makosa yao na muenendo wa shauri...
  3. emperor

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    tuwaambie pia kuwa KPMG Netherlands imepigwa fine USD 125 M kwa udanganyifu wa mitihani https://www.wsj.com/articles/kpmg-fined-25-million-over-alleged-netherlands-exam-cheating-a4dcba2a
  4. emperor

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    TRA ipo competent na wana vitengo vya Auditing safi kabisa. Hii la kusema eti uwape Big Four wafanye audit kwa maslahi ya serikali ni UTANI unaopaswa kupuuzwa kabisa. Wiki iliyopita KPMG Ireland nadhani imepigwa faini Euro 25m kwa kudanganya mamlaka za huko! Watu wanadhani hawa Big Four ni...
  5. emperor

    Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Sasa hao Big Four si ndo Auditors wa hayo makampuni? Sioni kama serikali kuwapa kandarasi itasaidia chochote
  6. emperor

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Ni pendekezo la hovyo sana... 1. 2,000 kwa kila mwenye simu its a regressive tax.. 2. Simu si kipato au asset, wengi ni kiwezeshi cha mawasiliano. kuanza kukiona kuwa ni mtaji na asset ni uduni wa mawazo. 3. lazima ifanyike study kubwa in the formal na informal sectors na kuainisha kipato kwa...
  7. emperor

    Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    kwa wengi wasichokijua tu ni kuwa Volvo ana branch yake kabisa Tanzania. wapo along Nyerere road kama unaedna Airport. acheni kudanganyana eti spare hamna! we huna uelewa
  8. emperor

    e-GA inahujumiwa

    e-GA tunaowafahamu wanafanya kazi kubwa sana. Mifumo yao iko superb kwa sasa. Waaminiwe kwa mifumo mingine mikubwa kama hii
  9. emperor

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Alivyofia angani hakushuka chini? Au alibaki anaelea huko? Maana nachofahamu eneo lote alipodhaniwa ameangukia (baada ya estimation za mlango wa nyuma wa ndege kufunguka) lilifanyiwa search bila kupatikana mwili wake.
  10. emperor

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Wapi Tanzania kuna Public CCTV ambayo bodabkda kama huyo anaweza access au pita? Wacha kujisifu sana! Hakuna Street Camera za maana TZ ukiachilia maeneo wanayokaa au ofisi za viongozi wakubwa wa kitaifa! Road Traffic CCTV zingesaidia sana kwenye issues kama hizi ila hakuna. Nilikua Kenya and i...
  11. emperor

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Kama ana move na simu basi mifumo iliyopo TCRA/ kampuni za simu inasoma exactly simu yake inapokea mawimbi kutoka mnara gani wa simu. Hivyo taarifa hio inatumiwa na polisi (Cyber Crime Unit) kuwasiliana kwa radio na polisi wa eneo hilo kwa ajili ya kumfuatilia muhusika. Hata yule kijana aliywua...
  12. emperor

    Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    If i will be invited to the table, i will advise immediately for unbundling of TANESCO into three different entities namely: Production, Transmission and Distribution. These entities mwill be separate, independent and singly from each other and there must be intense competition at production...
  13. emperor

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Utaheshimiwa ukijiheshimu stupid!! Bandari haiuzwi!! Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
  14. emperor

    Tupige kura kuamua au kukataa serkali kubinafsisha bandari zetu

    A C2e Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom