Mi naona kwamba ni bora wangeendelea na ndoa yao kwan maana nzima ya ndoa sio kundoana tu bali pia kuna mambo mengine ya kusaidiana. kwa mfano siku bwana angekuwa mzima alafu sku wametoka kufunga ndoa wakapata ajali iliyopelekea bwana kuumia vibaya ivyo kushindindwa tena kufanya mambo ytu je...
Ni kweli kwamba wengine huwa ni maumbile yao ya kuzaliwa, ila pia kutomaswa kupita kiasi napo kunachangia sana kuyalaza hayo mtt. ndo maana dada du mjanja huwa hapendi kabisa kunyonywa
Karibu sana ndg Ngalikihinja ila samahani umesema unatoa hoja. hoja hiyo ni ya nn au ndo ya kujiunga kma ya kujiunga wanajamiiforum hawana ubaguzi hivyo humpokea kila mtu, ila nachoomba utakapoondoka uage pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.