Search results

  1. M

    Vodacom na m-pesa ni wizi au?

    Hawa jamaa wa vodacom' ni kuwa nao makini kwani kuna kigogo wa Epa anamiliki 25 percent za total Equity .isije Vodacom' MPesa ikawa Epa nyingine wahanga wa MPesa watakuwa watanzania masikini.
  2. M

    Jerry Muro: From ITV to TBC1

    Jerr Muro Si alipewa Tuzo na Wamarekani,.pia akapewa nafasi miezi sita kwenda Kwa mjaluo Obama, Course' kituko wakambania pale Itv'nafasi yake'yake Dongo akamaindi akapiga mzigo'chini.jamaa Mhando Tido akaona wenzake Itv wamechezea Lulu.akamkaribisha Tbc.habari ndio hiyo.
  3. M

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Jamani wana Jf tusitumiwe na mafisadi Mwakyembe ni Real patriotic.
  4. M

    TTCL na huduma za internet mbovu!

    kampuni yenyewe nadhani iko Icu au Ufisadi nao unaimaliza
  5. M

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Siasa ina wakati wake,kupanda na kushuka Mzee wa Kiracharacha sasa kafulia bora apumzike asije kufa kwa kisukari.Inachekesha anakuwa wa kwanza kutoa ushauri kwa chadema.
  6. M

    Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    Ndugu, nani kasema serikari ni ya Romani katoliki, huku viongozi wa juu wa serikari wa bara na Zanzibar ni waislaam tena swala tano! chadema hakiongozwi kwa nadharia za kikristo kwani Slaa kama ni upadri kaweka pembeni, kama umekosaa hoja kaa pembeni, sio kutufanya JF tuonekane tunaegemea udini.
  7. M

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Vedastus Mathayo Manyinyi wa musoma mjini, na Mizengo Pinda kwa kuwabeba mafisadi
Back
Top Bottom