Search results

  1. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    Habari za leo ndugu. Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.
  2. Moses Cellestine

    Tanzania Chevening Scholars

    Wadau natumaini wote wazima. Natafuta watanzania waliopata scholarship ya CHEVENING ya kwenda kusoma UK mwaka huu. Plz call me 0757911080
  3. Moses Cellestine

    Msaada: Nataka kuanza kulima, ni maeneo gani naweza kununua mashamba kwa bei nafuu?

    Wandugu habari za kwenu. Naishi Moshi nahitaj kujitupa shamban mazima. Naombeni msaada kwa wanaoifaham vizur Tanzania. Ni eneo gani naweza pata mashamba ya kununua kwa bei nafuu kama Hector 10 kwa ajili ya kilimo cha nyanya na vitunguu? Eneo lenye rutuba ya kutosha, mvua za msimu za kutosha, na...
Back
Top Bottom