Search results

  1. K

    Mengi ndani ya kanzu na bhagharashia

    Jamani siasa si mchezo namwona mengi ndani ya kanzu mzee kajikunja huyo,, haki Tanzania ya sasa si kama ya zamani mashekhe makanisani na maaskofu ndani ya misikiti chezea siasa wewe...
  2. K

    Tanzania ni ya watanzania au ni ya wawekezaji?

    Mi nashindwa kuelewa hii serekali ya wenyenayo, na mahakama zao na uongozi wote kwa ujumla,, jamani watu morogoro wanalia kama watoto wadogo eti nyumba zinavunjwa na mjinga mjinga mmoja anayejiita mwekezaji.. mawaziri mko wapi? Raisi uko wapi watendaji wengine mko wapi? haki za binadam mko...
  3. K

    Hatimaye wang' oa watu kucha na meno waonekana hadharani

    Leo mwenzenu nilikuwa naangalia maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi hukooooo,,,, si wakaletwa wale Wang'oa kucha na meno lakini wakawatambulisha kama makomandooo.. mh kazi IPO hapa
Back
Top Bottom