Search results

  1. H

    Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

    Ina maana wewe ndio unafahamu leo kuwa mungu ni mkubwa
  2. H

    Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Na kipindi hicho hatukuwa kwenye uchumi wa kati ila leo tupo kwenye uchumi wa kati we huoni hiyo tofauti?
  3. H

    Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Suala la elimu bure kwa nchi hii wala sio jambo la ajabu kabisa sisi tumesoma elimu huku tukinywa uji,daftari likiisha unaonda kwa mwalimu wa soma anasaini unaenda zako stoo unapewa daftari,tulikuwa hatukai chini kama sasa hivi dawati moja wanafunzi wawili na madawati yanabaki ya kumwaga tu...
  4. H

    Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Mkuu huu ubora unaohubiri kwanini wauone vitukuu vyetu baadala ya sisi tuliemuona?
  5. H

    Je, hayati John P. Magufuli alidanganywa na vyanzo vyake vya habari? Maana sasa ni kama kufedheheshana

    Kila neno analosema mama linaonyesha kwamba alikuwa hakubaliani na marehemu ila hakuwa na namna ya kufanya
  6. H

    Mbunge Munde: Rais Samia hakuahidi Katiba Mpya, msitupangie

    Hiyo ndio maana halisi ya 'kiti maalum'
  7. H

    Hayati Magufuli anapotajwa kuwa Shujaa wa Afrika, maana yake nini?

    Nadhani hoja hapa ni kwnn aitwe shujaa wa africa? Ni kipi alikifanya kwa ajili ya africa?
  8. H

    Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Mkuu ni mtanganyika kama wewe
  9. H

    Nini kimesababisha Diamond karanga kupotea kwenye soko?

    Mkuu unataka tujifunze kwa mtu aliyeshindwa kuuza karanga? ambazo zilikuja kama upepo na zikaondoka kama upepo? nenda madukani kaulizie chibu perfum ukiipata njoo uchukue kodi ya nyumba ya mwaka mzima
  10. H

    Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Mkuu hiyo ndio njia ya kula na mtu apenda sifa
  11. H

    #COVID19 Vita dhidi ya COVID-19 Angola imetuumbua, Balozi awajibike?

    nimekuelewa mkuu,coz id yako tu inaonyesha we ni mtu wa aina gani
  12. H

    Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Mkuu hana wilaya aipendayo zaidi chato so usitegemee kupata jibu zaidi ya chato
  13. H

    Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Sawa!!! Lakini kuna haja ya kushangaa IQ yako maana umetanguliza mahaba kuliko uhalisia
  14. H

    Naibu Waziri Ummy ashitakiwe kwa kuwachapa viboko Wananchi

    Mkuu nakuomba ulitolee ufafanuzi kuhusu Ile kesi ya mitandao ya simu.
  15. H

    Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Ungetuliza akili kidogo tu,ungemuelewa mleta mada
Back
Top Bottom