Search results

  1. M

    Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Huna hoja uto. Kuna watu wana maisha magumu na hawafuatilii mpira achilia mbali simba na yanga. Kama unaamini kabisa watu zaidi ya elfu 40 wanaoingia pale kwa mkapa kushabikia simba au yanga wote umewazidi uwezo, utakuwa na akili kisoda.
  2. M

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa wabinafsi. Hapo unafikiria tumbo lako sababu tu ya kupikiwa supu na chapati na kuona sawa vijana kulipwa kiduchu.
  3. M

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Hao unaowatolea mfano ni wale waĺe. Soma hapa chini.
  4. M

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Wachezaji waliotoka timu za vijana huwa wanaanza na mishahara midogo tofauti na wanaonunuliwa moja kwa moja. Klabu za kienyeji ndio zinakuwa na mentality kama yako ila klabu za kisasa kwa vijana wao wenye mchango zinakaa nao haraka kuwaboreshea masilahi. Mwajiri bora uwaongezea mishahara...
  5. M

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Utetezi wa hovyo sana. Kwa mchezaji kama mzize mwenye mchango mkubwa klabu inayojielewa ingekaa nae haraka kuboresha masilahi hata kama hapo kabla alikubali kiduchu. Hapo akitaka kuondoka atawekewa mizengwe ya kiswhahili swahili. Sema wachezaji wa kibongo nao wamekaa kizembe zembe hata...
  6. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta ni kocha mzuri apewe muda
  7. M

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Unahitaji vitu vitatu Ili uishi milele (1)kuzuia kuzeeka (2) nguvu(sio hospitalini) ya kuondoa majeraha ya aina yoyote. Yaani kuurudisha mwili kama awali kama vile hujatokewa na chochote (2)nguvu ya kuzuia roho isichomoke Mwanadamu bado sana kuzuia kifo.
  8. M

    Mamelody yaibua utata tena dhdi ya Cape Town Spurs.

    (1) Uto alipewa penati ydhidi ya Namungo kwa faulo ya mchongo kwa feisal (2) uto alipewa penat ya.mchongo kwa faulo nje ya 18 dhidi ya geita gold (3) magoli halali ya gwambina na kagera sugar yalikataliwa walipoifunga uto (4) uto alipewa penati kwa faulo nje ya 18 dhidi ya simba baada ya...
  9. M

    Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

    300,000×1000=300,000,000. 300,000,000x30=9,000,000,000.Huko shule mlienda kusomea ujinga hadi mnaleta mada za wabongo movie za kulisha nguruwe kwa bilion 9 kwa mwezi?
  10. M

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Alianza na Mungu kamaliza na shetani.
  11. M

    Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    We kweli utopolo. Sasa kipindi hicho hiyo nyingine inaishia robo fainal 4 hujui kama uto ilikuwa inaishia hatua za awali? Au unafikiri uto imeanzishwa juzi? Au nyinyi uto huko kwenu timu kubwa ni kuishia hatua za awali mara nyingi.
  12. M

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    We kweli utopolo, hapo unajiona eti una hoja. Kwanza ujue timu lenu kongwe lenye miaka 80 kabla hii robo ya juzi ilikuwa imeshiriki makundi mwaka 1998 .Yaani zaidi ya miaka 20 iliyofuatana uto haikuingia makundi. Hayo mashindano yana miaka karibu 60 tangu kuanzishwa kwake. Ni mwendawazimu tu...
  13. M

    TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nakukumbusha tu timu yenu ni kongwe yenye miaka zaidi ya 80. Kwa hiyo kuwa na robo fainal moja ambayo haikufanyi uitwe mwakarobo , ukitumia akili yako vizuri huwezi kujivunia kwa hilo.
  14. M

    Kabla ya mechi ya Simba na Yanga trh 20 tunaomba wachambuzi na mashabiki wa Simba watuambie kuna Mamelod nyingine Tz ama ni moja tu ya South Africa?

    Uto sio timu ya kuguarantee ushindi mbele ya simba. Kama una uhakika bet mamilioni utajirike. Unafikiri kila siku ni jmosi.
  15. M

    Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Uko sahihi kabisa. Wameandika mpaka 'visit Tanzania' kwenye jezi lakini serikali kimya hata kupongeza hamna. Wamekuja uto kwenye kombe dogo la shirikisho wakapewa ndege, alikwa ikulu.Viongozi simba iacheni serikali na timu yao ya uto fanyeni mambo yenu.
  16. M

    Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    'Visit Tanzania' imetangazwa bure na simba karibu misimu miwili kwenye mashindano makubwa ya CAF. Je 'Visit Tanzania' haikuwa uzalendo?. Ila ni dhahiri tu serikali wanaiona uto ni timu yao wakati timu yao ni Tanzania Prison , Polisi Tanzania na JKT
Back
Top Bottom