Search results

  1. omusita

    Hali ya hewa Lumumba sio nzuri, Wizi wa zaidi ya 600 ml wakipasua chama!

    baada ya kula hiyo mipesa unasikia yanasema ccm oyeeeee!!!!!yaliyofanywa misukule yanaitikia.....
  2. omusita

    Midege ya kivita ya Marekani inatisha!

    mshana jr;wachina ni washenzi hawajitangazi lakini siku wakiamua kujianika dunia itabaki na taharuki wtz mbona tulionyesha makomando siku ya muungano name uhuru kenyata alikuwepo
  3. omusita

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo tarehe 6 June, 2014

    Huyo bibi huwa ni kichefuchefu bungeni na bahati nzuri mda wake unaenda kuisha,sijui ingekuaje angekuwa spika wa bunge la katiba
  4. omusita

    Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Hawa polisisisiem wametuchosha b 200 za wananchi zimeibiwa hakuna mtu hata mmoja wa kusingizia kumkamata na kumuachua kama mwigulu au mhongo tujue basi wanafanya kazi sasa maskini hawa wafanyakazi wa ndani na ugaidi wapi na wapi
  5. omusita

    CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    bora chadema wanaingiza vitu kwa uwazi ccm wao hata kuwambia wanachama wake kilichoingia ndani ya chama hakuna eti wana sera ya usiri serikalini hadi kwa chama la maana kwa wanachama wao ni kugawa kofia,t-shet,na vitambaa kwa wabibi zetu kwa msafara wa kinana kuna gari limesheheni madudu...
  6. omusita

    Jimbo la Busanda Geita na heka heka za diwani Bugomola kuwa mbuge

    hawezi kupambana na mwenyekiti wa chadema mkoa wa geita Alphonce mawazo na ndo jimbo analolitaka kamanda
  7. omusita

    CHADEMA kuanzisha Umma Televition na Umma Radio Service ni jambo la muhimu sana

    kwa serikali hii haiwezi kukubari chadema kuanzisha kituo cha television
  8. omusita

    Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

    aliemshawishi kupata ubunge unafikiri anafurahia afunge ndoa
  9. omusita

    Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    [mmaranguoriginal.;mbona cdm mlichangisha mapesa ya wananchi kupitia star tv hatukulalamika,wewe ni machicha ya mbege kweli[ hawawezi kutumia TBC wanajua wananchi walio wengi hawaangalii TBC ya ccm
  10. omusita

    Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    tunaomba camera ielekeze ilipo nyomi ya watu kama mikutano ya ukawa au ukawa imekula dili na star tv iwe inaonyesha watu waliovaa nguo za ccm tu ambao sio wengi
  11. omusita

    Mkutano wa CCM live Singida kupitia Star tv

    Bahati nzuri wote wamevaa ngua mpya za chama hivi zinauzwa duka gani hapa singida
  12. omusita

    Pigo CHADEMA: Katibu wa BAVICHA Iringa abwaga manyanga, Ajiunga CCM

    hata juliana shonza alirudi ccm tena kwa mbwembwe nambieni aliko ndani ya ccm kama sio bulembo Nape na kinana.
  13. omusita

    Katiba ya CHADEMA kuhusu chama Kuingia Mseto na Vyama Vingine

    UKAWA songa mbele mazee ya lumumba yameanza kuweweseka na kuanza kusoma katiba ya wazee wa kazi na kuzinakili hakuna kulala mpaka wakome
  14. omusita

    Uchaguzi wa Malawi uwe fundisho kwa watanzania, 2015

    safi sana malawi.ugumu Wa maisha dawa yake kapige kura
  15. omusita

    Mama Maria Nyerere ampa siri nzito Dr Slaa, angalia hapa!

    Ni wazee wachache tu ambao bado wana imani na serikali ya ccm wengi wao akiwemo huyu mama hawana shida tena na serikali hii dhalimu isiowajali hata kimatibabu haswa huku kwetu vijijini
  16. omusita

    Taarifa ya baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu CHADEMA

    ACT imejuta kuanzishwa UKAWA songa mbele.hayo yalioandikwa na hao jamaa nadhani ni mawazo ya akina mwigulo+napo(Tanganyika kwanza serikali 3 mbele)
Back
Top Bottom