Search results

  1. J

    Last month

    BUJIBUJI: Jizzy1 vipi shwari? Hatuonani mzee vp mishe? Mnatunyima nini juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, sie tupo bhana shida tu, halafu misiba mingi, shem wako Mamdenyi kajifungua ghafla sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo itatoka next week hapa nimekwama, naweza...
  2. J

    Habari wana jamii, Mimi ni member mpya, mnipokee tafadhali

    Habari wana jamii, ninafuraha kubwa kujiunga rasmi naiJF home of great thinkers kwa muda mrefu nimekuwa naingia kama guest, kwa kifupi nimepata faida nyingi sana kwa mada zenu mahususi. Ni natarajia kupata ushirikiano kutoka kwenu. Natanguliza shukrani, nawatakia baraka tele
Back
Top Bottom