Search results

  1. S

    Mfumo wa ajira za Serikali umejaa Ruswa

    Toa laki upate 600 faida jero.
  2. S

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Teeth wanamnyoosha, tra wanae baadae atakuwa omba omba huku hapelekei motoooo
  3. S

    Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    Furaha amejaa kwenye 18! Alipokuwa kwenye tume ya makinikia alikuwa mbabe sana Hadi Kwa prof M. Furaha ni bilionea. Ana semi zaidi ya 10, furaha FM, furaha tv, Maza yake kamnunulia vanguard na T.,...D, mjomba ake wa ukweli FS amempa noti nyingi sana. Dogo anakiburi sana.
  4. S

    Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

    Lita 10.4 au Lita 104?
  5. S

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Ukiipa uhuru zenj inakuwa Kambi la wakora hivo dar hapatakarika. Anayetegemea kuvunjika muungano anaota.
  6. S

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Fast jet niliipanda dar mwanza kuwahi Dem wangu aliyekuwa amechumbiwa na tajiri wa madini wa Kahama. Nilipofika saa6 mchana nikamwambia Dem anisubirie nimalizie chuo nimuoe. Nikaenda kumjaza kwanza na saa 12 jioni akanisindikiza airport mwanza nikareje mzizima Kwa nauli ya 96,000/= nilikata...
  7. S

    Tukubali kubadilika, Mifumo ya TEUZI ni chanzo cha Umasikini

    Hadi uteuliwe Kuna michakato. Dogo anaenifua kuwa tu boss wa eneo fulani alisaikiwa, na familia zilihojiwa. Wateule ambao Huwa hawahojiwi sana ni wateule tayari. Ikulu wapo makini, yakitokea makosa ni udhaifu wa kibinadam. Uteuzi wa Sasa wanakudukua tu mawasiliano Yako na ndugu wa karibu na...
  8. S

    Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Kati ya wabongo m61, wabongo m60 tunapigwa na jua kika dakika. Kuanzia age 0. Wale m1 ndo wadosi wa masaki, wauzaji masomoni na mahausi geli.
  9. S

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Usinywe pombe ukiwa na stress au za ofa na ukaxifakamia ovyo.
  10. S

    Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Hata wenye kadi kama hawana koneksheni na wenye chama Kwa Ngazi husika ni kumpoteza muda tu. Kwa Sasa Kila mtu ana kadi ya CCM lakini moyoni anautashi wake. Kumiiki tu kadi haitishi, lzm uwe na mtu mzito.
  11. S

    Taasisi ya Victoria Foundation yakabidhi taulo za kike kwa shule 25 Mkoani Geita

    Vick anawinda viti maalumu na bukwimba na peneza wanapelekeana moto. Lakini jesca John Joseph anawapelekea motoooooo hatariiiiii
  12. S

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Mwakani utakuja uwashukuru mabamedi na wauza nyabe wote Kwa kukupunguzia mzigo wa shahawa ulizopaswa kumwaga nyumbani kwako lakini Huwa unapewa Kwa masimango.
  13. S

    Viwanja vya starehe Dar ni vipi?

    Una laki 8 ya kutumia masaa 5?
  14. S

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa ana mamlaka ya kumuamuru RPC?

    Kama Daudi Albert alimjambisho bishoooo wa Afropiko sembuse rpc Kwa uvfisiem mkoa? Fisiem imekaa kishari Shari sana, weka mbali na ikulu.
  15. S

    Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Wanataka tukienda kuvua dagaa wa Nyasa twende na passport? Tupo tayari kuingia vitani kuliko kuwaachia ziwa lote
  16. S

    Madiwani Mara wataka mishahara ya Wabunge ipunguzwe walipwe wao

    Kati ya madiwa 6000 nchini, ni 91 tu wenye akili timamu.
  17. S

    Posho ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma ikoje?

    Anthony mavunde analipwa kama inno wa karagwe! Ubunge ni mtamu
Back
Top Bottom