Search results

  1. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    tuambie huzunguka kwa speed gani hiyo ndogo
  2. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    hata tren hufuata designeted path yake.. maana hata angani ndege zina njia zake..
  3. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Naomba unipe darasa kidogo la namna ndege inavyo adjust altitude ili kufuata curve. maana kwa uelewa wangu ndegge ikishapaa ikapata usawa wa saffari yake kama ni FT 20 atatembea nazo mpaka atakapotaka kushuka sasa hiyo curve inaifuata ndege au ndege inafanyaje ffanyaje ili iwe ina jiudjust...
  4. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    ulizia kama kwenye majaribio ya safari ndefu za ndege, kama kuna chombo kimewahi kujaribiwa kuizunguka dunia south to north
  5. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Ndio..!! Ila kwa wale wenye kuyatafakari maisha hasa katika kutaka kujua Sababu ya Kuzaliwa na Kuishi hapa Duniani ni ipi. Majibu yake yapo kulingana na namna dunia na vilivyomo vinavyoenenda katika ushahihi wake.. ikiwa kuna linalopindishwa maisha tutakayoishi yatakua ni kwa mujibu wa wale...
  6. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    simple tuu na kama kweli wewe ni mdadisi na mfukunyuzi na unaeweza kujaribu kitu... mi nakupa zoezi dogo tuu ili uweze kuihoji elimu yako na uffahamu wako. 1. chukua mpira wa miguu... uchore mabara yote. Chukua sinia, lichore mabara yote. 2. Kwa kuzingatia center ya mpira ambao tutasema ndio...
  7. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hiyo elimu yako ya phisics na anga uliyoipata je umeipata elimu hiyo katika usawa, yaani ya dunia tambarare na dunia mviringo? au umeipata elimu moja na kuiamini hiyohiyo.? Elimu ya Dunia tambarare inapatiakana na imeelezea yote yanayoelezewa katika dunia mviringo someni kwanza ndio tuhojiane...
  8. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    ninachotofautiana na wewe ni sehemu ndogo sana... ndio maana unatumia nguvu kubwa kukosoa hoja na kuweka yaleyale tuliyofundishwa ambayo mimi kwa uelewa wangu nilikua napata utata... ila nilipobahatika kujifunza na hoja za fflat earth mengi ya yaliyokua yananipa utata yanathibitika kirahisi na...
  9. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    NDIO..!! kwasababu macho yangu Hayadanganyi... Au una mfano wa kipi tukionacho kilivyo sivyo kilivyo? KUMBUKA KUNIJIBU..! Kwakuangalia angani wakati Mwezi ukitembea na wakati Jua ikitembea, Kuna utofauti gani wa mitembeo hiyo hadi tuamini Kimoja Hakitembei? Na Kwanini Hauamini kua mwezi...
  10. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    katika video yako nikikuambia hayo majengo yanaweza kuwakilisha namna tunavyouona Mwezi ukiizunguka Dunia nitakua nimekosea? Kwanini?
  11. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Sawa naomba unipe utofauti wa muonekano wa movement ya Jua na Mwezi kwa kuangalia kwa macho...
  12. nkumbison

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Buff G anafanya Biashara ya Mavazi kwa LOGO ya UJAMAA, Snare ni mkulima wa Kisasa.. Na Wote wanaendelea kurekodi mziki.
  13. nkumbison

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Umeandika UONGO MAN na sio vizuri kabisa.. kweli O-Ten yupo Moro na ukweli ni Hatumii Dawa labda kama haumaanishi Unga... Tuzungumzie mengine kwa hili Umedanganya Sana. Zaidi muda wowote utakaokutana nae amependeza na anaweza kwenda sehem classic yoyote na asishangaze.
  14. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mfano wa Jua kuzunguka Dunia unaupata hata katika saa ya Mshale, na Ujue tuu wazee wa zamani kutumia Jua kujua masaa ndio kulileta idea yakutengeneza saa ya mshale kwa kufuata hesabu za mzunguko wa Jua linapoizunguka dunia Masaa 24. Na katika hili nikugusie kidogo sababu ya wewe Kudanganya...
  15. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Sorry, Hivi umetumia miaka mingapi kufundishwa tuu Umbo la Dunia? Na je Una Miaka mingapi tangu uanze kukataa Umbo la Dunia Tambarare.?
  16. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mifano sijui ya ukiwa katika usafiri utaona kama miti inarudi nyuma na blablabla nyinginezo, lakini mbona hamuulizi je wakati unaona miti inarudi nyuma unapokua katika hilo gari, mwili wako unakua unafeel vipi? Je kwenye kuona jua linatembea kumbe ni Dunia, Je Miili inapata hisia yeyote yakuwamo...
  17. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hapa nimsaidie kidogo... Vipi Gari likifika kwenye Tuta hakuna utofauti utakao onekana kwa aliye siti ya mbele na wa siti ya nyuma..!!:(:p:eek:
  18. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Asante..!! Nikianza na swali lako la mwisho ulilolisapoti kwa video... hapo kinachoonekana ni majengo yanamove... lakini kiuhalisia ni camera ndiyo inayotembea, na hilo mtu yeyote anaweza kulithibitisha kwakujaribu yeye mwenyewe kufanya hivyo. Isipokua kwa kesi ya Jua, wewe binafsi...
  19. nkumbison

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Tunaangamia kwakukosa maharifa..!! MUNGU NI NGUVU YA AJABU SANA. Sifa zote za Mungu (hiyo Nguvu) anazo/yo Mwanadamu mwenye JInsia Yeyote ile, hivyo kila mtu anaweza kutumia taswira ya Nguvu ya Kimungu na kuipa Jinsia kwa kadri aiaminivyo katika kuamini kwake.. Mfano panapokua na hatari au...
  20. nkumbison

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    swali liliuliza kwanini wazungu wadanganye wapate fffaida gani.. ndio nikajibu kua muongobyeyote yule hudanganya ili aaminike.. so mzungu refer swali nililolijibu
Back
Top Bottom