Inasemekana mwanamke aliyelelewa katika familia ya wazazi wote wawili anapoingia kwenye ndoa anakuwa na ufahamu wa juu kuhusiana na majukumu yake kama mke kwani tokea akiwa mdogo amejifunza hilo kutoka kwa wazazi wake ikilinganishwa na aliyelelewa na mama tu ambaye anakuwa hajapata elimu hiyo ya...
Wakati maombolezo na wasifu wa komredi Madiba vinaendelea nimejifunza jambo moja la msingi ambalo ni msamaha, mipaka yake na mambo ambayo yanasameheka na ambayo katu hayasameheki ( kama vile mfungwa wa mauaji asivyopata msamaha wa rais).
Kwa kifupi ni kwamba mkeo kupigwa nje ni dhambi...
Watu wanapolia msibani huwa wanalilia nini ktk mambo haya?
1. je wanamuonea huruma marehemu huko anakokwenda?
2. au wanalia sababu tu wamemzoea na hawatamuona tena?
3. au sababu haijulikani what happens after death?
tusaidiane mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.