Mkuu nina suzuki swift 1.3 M13A engine iliwasha taa ya check engine alafu inazima kupeleka kwa fundi nikaambiwa fuel pump imekufa nikanunua nyingine lakini bado likaendelea kwa mabadiliko kidogo kwamba check engine inawaka lakini gari haizimi kupeleka tena kwa fundi wakasafisha O2 sensor baadae...
Kwa uzoefu wangu WA safari ndefu kwanza angalia Tairi zako Kama zimexpire au kuisha, upepo stahiki kwenye Tairi.
2.ball joint, tire road end Kama zipo vizuri.
3. reckend na hyrolic Kama zipo vizuri.
4.kagua rejeta na coolant hakikisha iko sawa.
5.AC ikague inasaidia Sana mvua inaponyesha...
Suzuki swift ni nzuri ninayo haisumbuisumbui pia consumption yake imetulia
Yangu ni cc 1300 napiga rout sana Arusha to kigoma
Kigoma to kyela
Kyela to dar
Hakajanisumbua kwakweli
Fundi Mimi gari yangu suzuki swift kuna muda ukiwasha gari steering inakuwa ngumu mpaka uzime uwashe tena fundi ameniambia shida ni steering reck
Naomba ushauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.