Search results

  1. B

    Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

    Nyie mlipo pelekwa puta na ma terrorists wa kisomali kwenye super market mjini Nairobi mlifanya nini? .Maneno chungu mzima na kidhrau wengine.
  2. B

    Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Tunarudi kule kule to U America is invicoble eti"
  3. B

    Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Sikushangahi wewe ndiyo ulivyo, to U you the World is America, oh,one more thing - dont thik kwamba kilamtu ni average JOE kwa hiyo habari kama hizi lazima azipate kwenye vijiwe vya kuuza kahawa na MSM za magharibi or worse still tabloid zahuko huko, you gotta lot to learn hujachelewa lakini.
  4. B

    Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Nyie watu hilo roket au kombora la Jeriko liliwahi wapi kuwa tishio kwa Iran au hezibola au Amerika - wapi?-mpapendasana kukuza mambo na kuiona Israeli kama mungu wa Dunia kum sifu sifu tu, lakini walipo virumishwa na makombora ya Iran ya kushitukiza zikiwemo drones - wote mlikaa kimyaa...
  5. B

    Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Inasikitisha saaana, nchi za Ulaya zinaonekana kama mafala fala vile hasa baada ya kushurutishwa na Merikani kujiingiza blindly ku-support vita ambavyo havina kichwa wala miguu - wakijua wazi wazi kwamba zelensky hana ubavu wa kumshinda kijeshi mrusi wanacho taka wao ni kuendeleza vita kwa muda...
  6. B

    Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Ndio maana nasema majibu yako na baadhi ya wenzako uwaaga too illogical and childish "sorry AMIGO" nyie endeleeni na kusema muyatakayo wakati huo Urusi bado inaendelea kukalia majimbo waliyo yateka.
  7. B

    Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Swali lako lina logic gani? Tangu mwanzo Putin alisema lengo lake ni kukomboa Warusi wenake wa majimbo ya kusini, hakusema anataka kuiteka Ukraine nzima au kuiondoa madarakani Serikari ya Zelensky.
  8. B

    Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Hayo hawayasemi wao masaa yote ni kuzungumzia jinsi Putin na Urusi watakavyo pewa cha mtema kuni na NATOna washorika wake - siku zina kwanda na majimbo yaliyo twaliwa/tekwa na Urusi mpaka sasa Ukriaine haija fanikiwa kirudisha hata moja - masaa yote ni adithi za kifukirka za so called massive...
  9. B

    Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Niliwahi kusoma gazeti moja la mashariki ya kati likisema media za west pamoja na Israel ni mabingwa sana wa kutunga stori za kizushi za kuonyesha eti Israel inaonewa, kumbe yenyewe ndio mijitu mionevu yemye roho ya paka, siku moja mwandisha wa habari wa magharibi aliwahi kusema kwamba MSM...
  10. B

    Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

    Well said be blessed; kitu kingine Israel ina uhakika gani kwamba wao ndio wanao miliki silaha za nuclear mashariki ya kati - nani ambaye hajui ukaribu wa nuclear scientists wa North Korea walishirilkiana na nuclear scientists wa Urusi pamoja na mascientists wa Pakistan (or have you forgotten...
  11. B

    Video: IDF wagundua handaki lenye ghorofa kadhaa kwenda chini

    Nawewe kama kawaida yako una amini propaganda hizi za kitoto!!!
  12. B

    Hisbollah imebomoa 2 Iron dome batteries

    Kwani tatizo liko wapi hapo mkuu? Wewe unajua Iroin dome air defense systems ilikuwa umbali gani kutoka mipakani mwa Gaza na zipo ngapi, hivi una uhakika ni teknolojia hipi iliyo tumika kushabulia Iron Dome - no research no comment, mara nyingi uwa unakereka sana mtu aki- comment chochote...
  13. B

    Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

    T Tusiende mbali mwambie Biden apande na kushuka ngazi za ndege ya Raisi kwa kasi ya Putin-nguvu hizo hana kabisa yeye ni bingwa kwenye masuala ya political rhetoric na kitisha tisha watawala wa EU na Banana Republics lakini sio Urusi Bwana!! Putin amekwisha muonya Biden zaidi ya mara tatu...
  14. B

    Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Hapo hakuna cha skysoldier wala nini sijui - huyo ni MK 254 amekuja na alias name anafikiri watu hawana akili ya kung'amua hilo!
  15. B

    Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Mbona sijakuelewa vizuri kiongozi!! Haya mamno ya kui- equate uwwzo wa kiuchumi na masuala ya kushinda vita ndio huwa siuelewi, kila siku huwa nawahoji hivi GDP ya Merikani wakati alipo vamia/jiingiza kwenye vita na VietNam ya Kasikazini GDP ya North VietNam ilikuwa ya kiwango gani??? Bottom...
  16. B

    Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

    Huyu mara zote adithi zake ni zuga tu - tatizo lake hana weledi wa kutofautisha baina ya propaganda za CNN na Serikali ya Natenyahu dhidi ya Wapalestina yeye anatumika kama vuvuzela tu wa kuwakandia Wapalestina. Hvi ukisoma maelezo yake yana mantiki yoyote kweli?
  17. B

    Urusi yaanza kuomba silaha ilizouza zirudishwe, hali mbaya

    Source: www.pravda.com.au - site hii imejaa propaganda za kitoto kutoka kwa Serikali na jeshi la Ukraine, lengo lake ni kutaka kuzuga Dunia kwamba hivi sasa Urusi imelemewa na vita hivyo watashindwa vita na Waukraine siku za karibuni.
  18. B

    Urusi yaanza kuomba silaha ilizouza zirudishwe, hali mbaya

    Jamaa huyu chuki zake binafsi kuhusu Urusi na Putin in particular knows no bound!!!
Back
Top Bottom