Search results

  1. T

    Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

    Wabunge wa CCM ni wanafiki sana hatuwaamini kabisaaa
  2. T

    CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

    Kwani Uchaguzi wa Kalenga ni kipimo cha uongozi wa Chadema? Go to hell..
  3. T

    Kwa Uamuzi Huu wa CCM!, CCM Sasa ni Chama Cha Hovyo Hovyo!. Kukitegemea 2015 ni Majanga!.

    Mkuu Pasco hapo kwenye RED sijakuelewa ulitaka kusema nini? Maana umekitaja Chadema hapo na sioni kinahusikaje na hii habari ya wanaCCM.
  4. T

    Kwa Uamuzi Huu wa CCM!, CCM Sasa ni Chama Cha Hovyo Hovyo!. Kukitegemea 2015 ni Majanga!.

    Hahahaha Viongozi wa dini watatoa matamko, Maonyo na Makaripio makali kwa CCM, kwa kuwatakia njaa kuelekea uchaguzi mkuu..
  5. T

    Kwa Uamuzi Huu wa CCM!, CCM Sasa ni Chama Cha Hovyo Hovyo!. Kukitegemea 2015 ni Majanga!.

    Hahahahahahaaa Eti eheeee, sasa Mbona mlisema mtawavua gamba mmeshindwa sasa mnatoa Maonyo makali na makaripio makali tu.. hahahaa CCM mmekwisha kabisa na Lowassa ndo anakwenda kuwamalizia.. CCM ndo imejenga utamaduni wa kuchuuza madaraka sasa kwanini wanachama wake wasifuate utamaduni huo wa...
  6. T

    Kwa Uamuzi Huu wa CCM!, CCM Sasa ni Chama Cha Hovyo Hovyo!. Kukitegemea 2015 ni Majanga!.

    Lowassa akiguswa lazima Pasco wa JF povu limtoke.. hahahaaaa mtajijua na LiCCM lenu kama ulivyosema CCM is not a determinant kwenye urais 2015, Daftari likiboreshwa CCM kwaheri...
  7. T

    Mbio za Urais 2015: Lowassa na wenzake wakaangwa na Kamati ya Maadili

    Acha yameguke tu.. na Tunaenda kuyachapa Kalenga..
  8. T

    Mbio za Urais 2015: Lowassa na wenzake wakaangwa na Kamati ya Maadili

    CCM Mbona mnawaombea njaa viongozi wa dini, mnataka mtu wao aache kutoa mahela kwenye harambee zake maalumu.. hahahahaaa
  9. T

    Mbio za Urais 2015: Lowassa na wenzake wakaangwa na Kamati ya Maadili

    Hiyo ni danganya toto tu.. Wazee wa maonyo makali na Makaripio makali, lini hasa mtachukua hatutua dhidi ya wavunjifu wa maadili? CCM you are done, hao mnao wapa Maonyo ndo mnataka wawe marais wa nchi yetu..
  10. T

    KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    Kam Sheria za Kimataifa zinaruhusu kufanya hivyo kwanini wasifanye, halafu pia hakuna utashi wa humu ndani uwe wa kikatiba au wa kisheria wa kumburuta rais aliyeko madarakani kotini.
  11. T

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Asije lkusema Kikwete hakuambiwa..
  12. T

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Hivi huyu mnayemwita rais Kikwete anajua matukio yaliwakuta wafuasi wa Chadema kwenye kila chaguzi? Mimi nadhani sasa ni wakati wa Chadema kutekeleza ule mkakati wetu wa kuimarisha vikosi vya ulinzi wa Red Brigade, maana hali ya hatari imeshatangazwa dhidi yetu na hili halina kificho sasa ni...
  13. T

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Vikosi vya ulinzi vya Chadema Red Brigade, vijipange Kalenga na Chaguzi zijazo hali haitakuwa salama kwetu kama ambavyo imekuwa siku zote, Wafuasi wa Chadema wamekuwa wahanga wa green guard kila uchaguzi, na sasa Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi la Green Gaurd ambaye ni Mwenyekiti...
  14. T

    CHADEMA na CCM waipata freshi yao Mwanza NCCR - MAGEUZI yawapa kichapo

    Hahahahaaaa Haya Mageuzi Hoyeeee
  15. T

    Hii ina Maana Gani: Zaidi ya 80% ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ni Wanasiasa!

    Gharama za serikali tatu zimo ndani ya hizi serikali mbili maana Tanganyika imo ndani ya serikali ya muungano., zikitenganishwa na gharama zake zitajitenga.. tuache kuwazuga watanzania na swala la gharama hili li serikali la CCM lina mawaziri 60, wengine hawana hata wizara maalum.. wanatumbua...
  16. T

    Hii ina Maana Gani: Zaidi ya 80% ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ni Wanasiasa!

    Mara wanakaa eti vikao vya maridhiano, mnaridhiana ni i wakati watanzania walishatoa maoni yao na wameshayaweka kwenye rasimu, Maridhiano yalitakiwa yafanywe kabla ya kukusanya maoni ya wananchi.. ili muweke misingi ya kisheria itakayolinda maridhiano ya kitaifa.. sasa kuita vika vya wanasiasa...
  17. T

    Ukweli usiopingika, CHADEMA Chama ni kinachokua dhidi ya CCM kinachporomoka

    Kuna watu wanalinganisha misuli ya Chadema ya Mwaka 1992 na Misuli ya CCM ya Kutoka TANU hadi CCM ambayo ilirithi mfumo dola wa Chama kimoja na ikahama nao kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi, Nyerere aliwahi kusema CCM inapaswa kuanza upya kama vyama vingine isirithi mali zilizokuwa kwenye...
  18. T

    Tathmini: Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani uliofanyika Februari 9, 2014

    Arusha wanafanya kazi kwa bidii ya kujenga chama na kuwafikia wananchi bila kusuburi akina mbowe waje kuwajengea chama, charit begins at home..
  19. T

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Safu nene ya viongozi CCM imeenda wapi, maana huwa nasikia wanajisifu hivyo..
  20. T

    PENDEKEZO: Mh.Rais J.M.Kikwete Unda serikali yenye watu hawa kwa kipindi hiki:

    Hii nchi inahitaji upinzani imara kuendelea serikali za mseto zinafanikiwa kwenye democrasia zilizokomaa sisi bado.. Hata kama Chadema itashinda dola bado tutahitaji upinzani wenye nguvu na uwezo wa kuitoa chadema madarakani.. Kwahiyo achana hizi hekaya..
Back
Top Bottom