Search results

  1. N

    Tamko la mashirika ya hiari kupinga ardhi ya vijiji vya Loliondo kuporwa na kupewa mwekezaji OBC

    Ungekuwa na NGO yako basi isiyo uchwara, matusi haitusaidii na propaganda zenu. Tutadai hai zetu hadi mwisho. Kama wanamaslahi yao kwa Mwarabu wa Dubai wakawape ardhi kwao siyo kwetu.
  2. N

    Tamko la mashirika ya hiari kupinga ardhi ya vijiji vya Loliondo kuporwa na kupewa mwekezaji OBC

    Mashirika ya hiari yanayojishughulisha na kutetea haki za ardhi na haki za binadamu nchini tanzania asubuhi hii imetoa tamko la kupinga ardhi wa vijiji vya loliondo kutolewa kwa mwekezaji mmiliki wa kampuni ya obc anayefanya biashara ya uwindaji wanyama pori katika ardhi ya vijiji vya loliondo.
  3. N

    Kiwanja Cha Ndege Cha Jenerali Wa Kiarabu Serengeti

    Sijui kama unaweza kudhibitisha hivyo visima. Wanaonyang'anywa ardhi wamasai si loliondo mjini. Hata kama kwa mfano kisima ikijengwa loliondo mjini, umeme ukawekwa wamasai wananufaika vipi? Wamasai wafugaji km kweli mwarabu anawajali anaowanyang'anya ardhi kwa nini hakuwai kuchimba bwawa la...
  4. N

    Chama tawala kuwalipia wanachama waliohama kadi zao-Ni aibu mbaya, ni fikra nyembamba.

    Kadi ya uanachama huandikwa jina la mtu, hata ikirudishwa haitafaa kutumia kumwandikia mtu mwingine. Sielewi dhana ya kurudisha kadi kama kweli ndo ushahidi na kielelezo cha kukihama chama. Kwa kauli ya Nape, hata wale wanaotoa ktk mikutano ya siasa, CDM, CUF na mengine huwa yanarudishwa CCM? Na...
  5. N

    Gazeti HOJA lazidi kuiandama CHADEMA.

    Sasa nimejua kwa nini walifuta mwanahalisi ili magazeti yao ya udaku wapate nafasi ya kuchefua umma wa watanzania HATUDANGANYIKI NG'O!
  6. N

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    Naona kila sababu ya kufutwa kwa cheo cha DC. Kumbe huwa ni ma kada wa chama na si watendaji wa Umma? Kweli tusikosee katika katiba mpya nafasi hii ifutwe. Tunataka watendaji wa serikali wanaowajibika kwa umma na si kwa chama, na chama chenyewe hii iliyogeuka maadui wa raslimali za nchi yetu...
  7. N

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Ukweli ni kwamba Dr. Slaa si mwanachama wa CCM tena kwa mjibu wa katiba ya CCM kwamba mtu akishakuwa mwanachama wa chama kingine uanachama wake ndani ya CCM unakoma mara moja. Tujiulize maswali ya msingi. Je Dr. Slaa ni mwanachama wa CDM? Kwa ndiyo hayupo tena CCM? Pili kwa nini Nape wa Ccm ndo...
  8. N

    Matokeo KIKWETE 2395 MANGULA 2397 DR SHEIN 2397 (ushindi 100%)

    Mwenyekiti kapata kura 2395, kanyimwa kura na watu 2.
  9. N

    Top 3 ya kauli zenye changamoto kwa wa-TZ

    1. Wafugaji waende watokako kuvukuzwa lazima- pinda. 2. Asiyetaka kulipa sh. 500 apige mbizi- makufuli. 3. Siyo kilimo kwanza ni elimu kwanza- lowasa.
  10. N

    Dr Slaa awakabidhi Kadi Makamanda Ester Wassira na Lilian Wassira

    Naunga mkono haya usemayo. Nafahamu familia nyingi huku simanjiro ambazo angali wazazi wao ni makada wa zuri wa CCM, watoto wao wamejitokeza waziwazi kuunga mkono M4C. Nakubaliana nawe kuwa kama watoto wa vigogo wa CCM hawatakuwa wa nafiki kwa chama cha wazazi wao, wapo wengi wanamezea mate M4C...
  11. N

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Kipindi kizuri na maswali mazuri yameulizwa, mbona sasa hatuoni majibu hapa? Tafadhali mwendesha kipindi utupe brief ya majibu ya maswali yaliojibiwa na hao walioulizwa.
  12. N

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Habari Tbc, kweli Daudi amefariki. Mazingira yameelezwa kuwa wakati polisi walipo vamia mkutano wa CDM ambapo wananchi ndo walikusanyika walipo mwona Dr. Slaa. CDM walikuwa wakijenga chama ngazi za vijiji na kata kwa kuongea na viongozi wa ngazi hizo. Daudi alikuwa ktk eneo hilo kuchukua habari...
  13. N

    OBC loliondo yazidi kukabwa koo

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA HII INATOLEWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUELEZEA MSIMAMO WAO KATIKA KAMPENI INAYOENDESHWA NA MTANZAO WA AVAAZ KUHUSU KUTAKA SERIKALI KUSIMAMISHA MCHAKATO WOWOTE WA KUUZA ENEO LA LOLIONDO KATIKA MFUMO WA IKOLOJIA YA SERENGETI UPANDE WA MASHARIKI...
  14. N

    OBC loliondo yazidi kukabwa koo

    Tungeungana tu watanzania wote nchini kuwaondoa wawekezaji wasio na tija kwa taifa letu. Si rahisi kwa walio madarakani kufahamu hilo ila sisi waathirika tunatambua ukweli huo. Go OBC go..............
  15. N

    Kikwete: Wapinzani ndio wanaochochea vita dhidi ya Malawi

    Hata mimi nimesikia, kakuongeza hapo, ... Eti ni wapinzani wenye uchu wa madaraka... Binafsi sijawasikia wapinzani wakitoa matamko kuhusu huo mgogoro na malawi au labda JK anazungumzi wapizani wake kisiasa ndani ya chama chake anacho kiongoza. Mimi nimesikia na kusoma katika magazeti kauli za...
  16. N

    Mansour Himid: Hata nikivuliwa uwanachama wa CCM, sitabadili mawazo yangu kuhusu Muungano

    Mtazamo wangu kuhusu hilo la Tanganyika kuuawa kinyemela ni kuwa, Aliyekuwa anataka muungano ni Mwl. Nyerere na ili wazanzibar wakubali ikabidi akubali kupoteza taifa lake alilolipigania hadi uhuru. Hapa ndipo usaliti wa Watanganyika ulipo. Sasa kwakuwa TANU iliwasaliti watanganyika na kuamua...
  17. N

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    Shirika kama Nssf inajenga nyumba Arusha je wananchi ambao watakua wameacha/wameachishwa kazi kwa mazingira yeyote na ambao sasa hawaruhusiwi kuchukua mafao yao mpaka miaka 55 au 60 watakuwa na shares katika hizo nyumba maana bila shaka pesa zao ndizo zinazo tumika ktk huo ujenzi?
  18. N

    Madaktari wagoma - Wakaidi amri ya mahakama, wasema watafia jela

    Migomo sasa inaanza kuzooleka masikioni mwa wananchi wa Tanzania. Jambo ambalo nadhani lapaswa kuangaliwa ni kwanini kuna migomo, Mfano madaktari wadai kugoma, TUCTA, walimu n.k. na maandamano ya wazee wa Afrika mashariki na wanafunzi vyuo vikuu. Najiuliza hivi watawala wanayaona haya? Kama...
  19. N

    Madaktari wagoma - Wakaidi amri ya mahakama, wasema watafia jela

    Mgomo sasa inaanza kuzooleka masikioni mwa wananchi wa Tanzania. Jambo ambalo nadhani lapaswa kuangaliwa ni kwanini kuna migomo, Mfano madaktari wadai kugoma, TUCTA, walimu n.k. na maandamano ya wazee wa Afrika mashariki na wanafunzi vyuo vikuu. Najiuliza hivi watawala wanayaona haya? Kama ndiyo...
  20. N

    Madaktari wagoma - Wakaidi amri ya mahakama, wasema watafia jela

    ndugu kadakabikile, huwezi kuwalaumu madaktari kwa kutogoma hapo hawali, kumbuka kila jambo na wakati wake, km wewe usingeweza kuamrisha uzaliwe ulaya, hata mgomo haukuwezekana hivyohivyo, wakati wake haukufika. Serikali inafahamu mapungufu yaliyopo ktk hospitali zetu ndo maana wao wanaenda kwa...
Back
Top Bottom