Mkuu hata mimi huwa najiuliza sana hili suala. Mi naona hapo walichemka kwan nchi nyingi hela zao zina mwaka wa kuchapishwa, na hii ni muhimu ili kudhibiti wale wanaohodhi fedha bila kuziweka kwenye mzunguko wa matumizi. Mfano leo hii dola ya mwaka 199 au 2003 ukitaka kubadilisha ili upate...
aah hiyo ni kawaida tu na misimamo ya mtu, kwa mfano mimi nilipanga nyumba moja hivi kwa muda wa miaka minne lakin sikuwahi kukaa barazan kupiga stori na watu, sasa watu wakawa wanasema naringa jambo ambalo si kweli, mpaka nikahama baada ya miaka miwili kupita faza house akafariki nikaenda na...
Dah hiyo yote ni kwa ajili ya hiyo mimba tu, kwan uzoefu unaonesha wanawake wakiwa na mimba wanakuwa kama wagonjwa vile! We ni kumvumilia tu ikiwezekana mpe likizo huyo dada wa kazi akijifungua mrudishe aendelee na Kazi so long as we ndo mwajiri.
mkuu mi nadhan mkeo anakujua in and out yako ndo maana ana kaba hadi kivuli. ili kimjenga iman kuanzia sasa dada wa kaz awe sehem ya familia yako na si mfanyakaz alaf utatupa mrejesho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.