Search results

  1. chenjichenji

    Mtoto kuanza kuota meno ya juu

    Habari wakuu.Hivi kuna tatizo lolote la kiafya kwa mtoto kuanza kutoa meno ya juu?. Maana nina binti yangu wa miezi saba jana nimemcheki mafizi ya juu yamevimba na vijino vipo kwa mbali vinachoma choma wakati fizi za chini zimevimba tu na hazina dalili ya kutoa meno hivi karibuni. Naombeni...
  2. chenjichenji

    TiGo xxxxxx zenu!!!

    Habari wandugu! Mara nyingi nimekuwa nasoma humu juu ya majanga ya tigo lakini leo nami nimekua mwathirika pia. Jioni hii nilijiunga na kifurushi chao cha shilingi 890 ambacho unapewa ofa ya dk 30 za tigo kwa tigo na dk 30 za tigo kwenda mitandao mengine pamoja na sms 5000 na 1gb. Cha ajabu ni...
  3. chenjichenji

    Basi la Hood lapinduka.

    Habari nilizozipata punde,ni kwamba basi la kampuni ya HOOD lililokua linatokea Moro kuelekea Arusha limepinduka asubuhi hii eneo la kati ya Lugoba na Msata mkoani Pwani. Jamaa nilieongea naye ambaye yupo eneo la tukio,anasema mpaka sasa hakuna mtu ambaye amethibitika kupoteza maisha ila...
  4. chenjichenji

    hellow!

    Habari wandugu wapendwa.Baada ya takribani miaka mitatu ya kuingia JF kama mgeni leo nimeamua nami nijimwaemwae pamoja nanyi.Tafadhali nikaribisheni wanajamvi.
Back
Top Bottom