Search results

  1. M

    Mambo ya Ukanda yaliasisiwa Kaskazini na yameenda kuota mizizi Ziwa Victoria. Walaumiwe sana CHADEMA!

    Kimsingi siasa za makundi na ukanda wameziasisi CCM kwa faida zao za muda mfupi bila kuona madhara ya jambo hilo kwa Taifa in a long run. Sasa mbegu hiyo imeshaota na imekomaa ndani ya hicho chama. Mfano mzuri ni hili la Makonda na sukuma gang, Kimaadili huyu Makonda hakustahili kupewa nafasi...
  2. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Sasa wewe ndugu yangu, Chadema inaingiaje kwenye mjadala na povu lote hilo!.
  3. M

    5 Days to Go! Kabla PM Majaliwa Hajazindua TeIW ya TIC Ambayo Italikomboa Taifa Letu on All Investments Issues! Ni 25 September - Mlimani City!

    Shida moja ni kwamba taifa na viongozi wetu wamekuwa ni watu wa kupenda sherehe na uzinduzi wakidhani kuwa hayo ndiyo maendeleo, baada ya miaka michache tu ijayo unakuta hakuna tija yoyote juu ya hiki kinachosherekewa sasa. Kuhusu coordination ya hizi mamlaka ili ziweze kufanya kazi ndani ya...
  4. M

    TANESCO: Kama mvua zikichelewa kutakuwa na mgawo wa umeme

    Ufisadi nchi hii hauwezi kuisha. wakati wa utawala wa Kikwete watu walikuwa wakifungulia maji kwenye mabwawa yetu ili kushusha kiwango cha uzalishaji wa umeme unaotokana na maji, na mwisho wa siku Serikali na Tanesco kulazimika kutumia umeme kutoka vyanzo vyanzo vya IPTL na Dowans ambao ulikuwa...
  5. M

    Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    HAKUNA UNACHOKIJUA KATIKA HILO.
  6. M

    Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

    Wenye kauli hizi always huwa ni kula kulala wanakaa kwa shemeji au kwa uncle.
  7. M

    Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Hivi unajua kuwa civilization ya mifumo ya tawala duniani ni copy kutoka kwa warumi (WaROMA). Pia nikusaidie tu usichokijua vetting ya mtu kuwa Padre mpaka Askofu huwa siyo ya kitoto, uwezo wa ubongo wako ni sehemu ya credit kuwa considered. Lakini pia asikudangaye mtu PHD zao siyo nyepesi kama...
  8. M

    Zile kelele za Bandari zote zimeuzwa/ kapewa mwarabu zimeishia wapi?

    Kwenye kanisa makini huwezi kuona kitu kama hicho. Labda huko kwenye imani yenu ambako mnagombania umiliki wa nyumba za ibada anaweza kukuta hayo unayoshudia sada hivi pale Sh.....Ubwabwa akianza mahubiri ya vitu vya kufikirika ndiyo huwa mnatoka nje. Ogopa sana PhD zaidi ya 30 zikakaa chumba...
  9. M

    Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

    WAO WANASIMAMA NA YEYOTE ANAYESIMAMIA HAKI , MASLAHI YA TAIFA NA MZALENDO WA KWELI. PIA WANAPINGANA NA YEYOTE ASIE MTENDA HAKI, MZANDIKI, MUONGOMUONGO NK. KWA MAANA HIYO KAULI YA KIZALENDO INAUNGWA MKONO BILA KUJALI NANI KAITOA.
  10. M

    Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    KAMA SUALA LA DPW Limekufa usishangae hata nyinyi hizo fidia zitakuwa zimekufa pia. nchi hii mambo mengi yanafanyika kwa sili sana. Ule mkataba wa waarabu na bandari ulikuwa unaiingiza na Airport kiujanjaujanja ambapo kusingekuwa na longolongo hizi zinazoendelea pengine wangeshawalipa. HIVYO KWA...
  11. M

    Rais Samia ni kiongozi mwenye misuli ya Uongozi ya kustahimili Vishindo vya aina zote

    Nyie endeleeni kusema ni Shujaa kumbe mwenzenu amezila. Hajui kwamba yeye ndiyo anatakiwa kutoa majibu. Ngoja joto liongezeke atakuja tu. Hofu yangu anaweza kuja wakati ameshachelewa.
  12. M

    Tupiganie Katiba Mpya ili kuondoa haya mauza uza ya TEC

    kwasababu alidiliki kutumia mbinu chafu kwenye mkataba, sisi hatumtaki tena.
  13. M

    Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Tarehe 25 December 2017, Askofu Zakaria Kakobe akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, alinukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli. "Rais John Pombe Magufuli, nawe unatakiwa kutubu leo. Unaposherekea sikukuu ya...
  14. M

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    My friend hawa siyo akinaMwaipopo, Hapo kuna PHD za kutosha na kama kawaida Genuine PHD holder yoyote (siyo kama ile Msukuma) huwa ni wapenzi wa maandishi na hawasomi tu bali ni kusoma na ku-analyse.
  15. M

    Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

    Hii safu inatengenezwa na Rostam
  16. M

    Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Sisi tunataka kuendesha Bandari na siyo mambo ya kulimalima
  17. M

    Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    Hii nchi ilipofika inataka kufanyiwa system Reboot/Reset , kwani tulipofika siyo pepesi tena. Kuna mambo mengi ya kuliangamiza Taifa hili yamekuwa yakifanyika kama vitu vya kawaida na CCM wamekuwa wakiyachekea, hawakujua kama yanawapeleka kwenye escape phenomenon kama hivi.
  18. M

    Nini kimelisibu gazeti la Raia Mwema?

    Uzuri wa DPW unatokana na nini? kuna kesi chungu nzima duniani zinazowahusu hawa DP. Judgement ya kwamba wao ni wazuri inatoka wapi 1. mkataba wao Mmbovu waliotusainisha pamoja na hizo kesi na mataifa mengine ilikuwa ni kengele tosha ya kutuamsha WaTZ kuwa hawa watu hawatufai. ndiyo maana mimi...
Back
Top Bottom