Search results

  1. J

    Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Ukada lazima uambatane na sifa, vinginevyo falsafa ya Hapa Kazi tu haita tekelezeka ipasavyo!!
  2. J

    Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    Ufisadi anao mwenyekiti na familia yake na ndio maana ameua demokrasia ndani ya chama na kuja na majina kutoka mfukoni mwake! Mwaka huu lazima muondoke tu!!
  3. J

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Sumaye hakuwemo kwenye tatu bora 2005, acha kupotosha ukweli. Tatu bora walikuwa JK, Salim Ahmed Salim na Prof Mark Mwandosya.
  4. J

    Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Kwani ni lazima Zitto ajiunge UKAWA? Si ajiunge na vyama vingine vya upinzani au aendelee na CCM yake anayofanyia kazi?
  5. J

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Wakati uchaguzi unafanyika Zitto alikuwa tayari ni mwanachama na mbunge wa CHADEMA wa Mahakama tu. Na hata kabla ya hapo Zitto alikuwa tayari ameshawekwa pembeni na mambo yalikuwa yanaenda vizuri. CHADEMA ni chama sio mtu binafsi. CHADEMA ni bora bila Zitto, na wanaolalamika kuwa angebaki CDM...
  6. J

    Nyumba ya Capt. John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada

    Mkuu nimeipenda hii, umenichekesha sana!
  7. J

    Kikwete, Muhongo ni bomu litakulipukia

    Hiyo kauli Huwa Inanikera sana!! Kiongozi mzuri wa wapi? Unaposhauriwa si na wewe una akili? Jtuachetmtindomwankusingizianwashauriskwari kwa kwa matendo ya washauriwa!!
  8. J

    Sengerema: Fransico Kimasa Shejamabu ajiunga CHADEMA, Kugombea Ubunge

    Wana Sengerema na Chadema tuwe makini na watu wa aina hii. This is Shibuda type! Haiwezekani mtu anahamia Chadema na kutangaza nia ya kugombea ubunge!!!
  9. J

    Jakaya Kikwete ajibu na meseji hizi pia

    Ni kweli wananchi wengi wanaitegemea lakini ni walalahoi tu ambao ndio waajiri wa Kikwete na serikali yake. Inatakiwa iboreshwe ila hata viongozi watibiwe hapo. Sio kukimbilia tu nje hata kwa magonjwa madogo madogo na huku wakiacha wananchi wanakufa na hawana pa kukimbilia.
  10. J

    Kambi ya Sitta yapoteza matumaini kabisa Urais 2015

    Hapo umenena mkuu. Kampeni zake kwisha habari yake!!
  11. J

    Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

    Ndio hivyo mkuu!TBC ipo kwaajili ya Magamba sio chombo cha wananchi wa Tanzania. Nilikuwa nasikiliza kupitia WAPO Radio nao wamekatisha Matangazo wakati Lissu anaendelea kutoa ushahidi wa kutokuwepo hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lissu si Jembe tu bali Kiboko ya Magamba.
  12. J

    Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

    Mkuu umenifurahisha sana!! Huyo naye ni jamaa ya kina Mwigulu Nchemba, Vilaza watupu CCM!!
  13. J

    Mangula na Kinana mmejidhalilisha

    Mkuu kama strategists wa CCM ni akina Tyson, Lukuvi, Nepi, na Nchemba unategemea nini? Wangekuwa wana akili nzuri wangefikiria kuimarisha chama chao na kutatua matatizo na kero za wananchi badala ya kuhangaika na CDM ambayo inapata umaarufu kila kukicha kwasababu ya hizo mbinu chafu. CCM...
  14. J

    Kikao kilichofanyika ikulu

    Tatizo sio idadi ya mikataba ila ni uharaka na usiri katika kusaini hiyo mikataba!!
  15. J

    Namtumbo: Askari polisi auwawa na wananchi wenye hasira kali

    Mkuu Babalao amesha kwambia ni kuvunja sheria za barabarani.
  16. J

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Na hilo ndio neno la leo! Silaha kuu ya CCM iwe ni kuboresha maisha ya watanzania na sio kutumia mbinu chafu za kutaka kuiua CDM. Hilo kwa sasa ni gumu sana kwani kila mtanzania anajua hiyo yote ni kazi ya Magamba. By the way, CCM na serikali yake wanatumia nguvu kubwa sana kujitetea wakati...
  17. J

    Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

    The same as Dr Benson Bana!!
  18. J

    Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

    Kazi kweli kweli wakuu! Nchi hii haina mwenyewe ndio maana hata mkuu wa wilaya anatukana atakavyo kwasababu anajua hakuna atakachofanywa! Bosi wake JK naye ndio hivyo hivyo mara wanafunzi wapatao mimba wana kiherere mara wafanyakazi ni mbayu wayu! Hakuna utofauti ndio CCM hiyo ya sasa ile ya...
  19. J

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    Mkuu wote Bibi (CUF) na bwana (CCM) wanacheza ngoma ya CHADEMA. CHADEMA noma, na M4C ndio usiseme kabisa!!. CUF na CCM hakuna wabunifu ndio maana wana bakia kudandia dandia gari (CHADEMA) kwa mbele!!
Back
Top Bottom