Search results

  1. ostrichegg

    Shairi: Tulikuwa wamoja

    Kweli corona imekita, kudanganya haifai. Dunia yote walia, hata wenye utajiri. Wenzetu wanapambana, Siye bado hatujali. Pazuri pakipotea, tuje kumlaumu nani? Mlioshika madaraka, hivi mwatupelekapi? Misingi tumeitoka, twayahama maadili. Mema tulioachiwa, yanarithiwa na chuki. Pazuri pakipotea...
  2. ostrichegg

    Lissu; Sauti ya haki itaendelea kung’ara

    Nafsini mwaugulia, mlotaka Lisu afe, Sirini mlivyomkalia, kula njama dhidi yake, Mkitweta na kupania, eti Lissu aondoke, Kung’ara itaendelea, SAUTI na nguvu yake. Mjengoni mlimtishia, kwa kugwaya hoja zake. Na bila soni nje pia, kufisha maoni yake. Mkishindana kumjazia, hata kesi ziso zake...
  3. ostrichegg

    Je, Msajili wa vyama vya siasa kumfutia Tundu Lisu uanachama wake Chadema?.......Shabiby je?

    MSAJILI WA VYAMA TZ, SASA NI KUHANI MKUU. Naona maandalizi ya kuanza rasmi ibada za kuabudu mtu (Personality Cult ) ndani ya CCM na ndani ya nchi nje ya CCM, yanaendelea kwa bidii. Wanaosaka japo ushemasi tayari wameanza kuitangaza injili yao butu. Usipokubali kumwabudu, utabanwa huko uliko...
Back
Top Bottom