Kweli we Chadema unadhubutu kusema hivyo????????????? Wakati tunapigia kelele fedha za EPA watu kukopeshwa kinyemela bila kufuata taratibu?????????? Tukitaka wafilisiwe na kwenda KEKO na viboko 12 akiingia 12 akitoka akamueleze MKEO/MUMEO. Sasa tunahubiri nini na kufanya nini??????????? SHAME ON...
The earlier the better, wahini porini sasa ili 2015 itakapofika muwe wazoefu, maana kwa hakika CCM watapita sio kwa shida ila kwa kishindo. Je mnaonaje hili wazo?
Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa maelezo zaidi
Hebu ngoja tuone, GPA ya kuingia chuo kikuu ni kama ufuatavyo:-A = 5, B = 4, C = 3, D = 2, E = 1, F = 0, S = 0.5,
kwa hiyo EEF = 1+1+0 = 2, na CCC = 3+3+3 = 9. Kwa hiyo cjui amekokotoaje hiyo GPA.
Bora wamegoma kwani mngesema sio wazalendo. Swali lingekuwa si wangesema tu kuliko kutoroka kimya kimya? Sasa wana ruksa ya mkuu wa kaya kupitia luninga sote tu Mashahidi.
Nawatakia kazi njema tukumbukeni wazazi wenu kupitia BANKS.
Ni kweli nchi yetu ina mahitaji kibao. Pia ni ukweli nchi yetu ina UTAJIRI mwingi kiasi watu wa nje (Wahisani wanauliza kwa nini Tanzania ni maskini?) Nadhani jibu unalikumbuka " HATA MIMI SIJUI")
Kila mfanyakazi atatetea HAKI yake mwenyewe, manesi, wafamasia n.k. Pili pamoja na shida zote...
Mbona CHADEMA walikuwa na Diwani rasta na tunajua hao ndio wavuta Bangi na mengineyo? Pia CCM wana mbunge sangoma sijui kama alnaloga au anaagua? Jipya kwa Siyoi ni lipi hata kama kweli ana hereni?
Uamuzi wa mwisho ni wananchi wa Meru bila kujali mambo kama hayo.
Kwani Nassari aliyemaliza kadigrii kamoja juzi, ndio kabisaaaa politically, professionally, experientially ZERO. Lakini kila jambo lina mwanzo, acha vijana nao waingie awe Siyoi au Nassari sawa tu maadam jumuia ya wameru inawapa ridhaa.
Misri, Tunisia, Libya na Syria mpaka leo wanauwana, so jifunze wewe usipeleke masaburi yako barabarani bila kibali hakika Polisi watayatumbua. Maanadamano sio solution ya kila kitu utaandamana mpaka kiama kikukute huko.
Meza ya majadiliano, OK?
Usifikiri hiyo ndio Rushwa eti Mkiandamana bila kibali na POLISI wakisema acha kama hamtiii RISASI kwa kwenda mbele. Cha msingi ni mfuate taratibu na sheria za nchi.
Mh Lema mtashirikishwaje kama Chadema hamuingii kwenye vikao? Na wale waliokuwa na upeo mmewanyanganya kadi maana Sugu ndiye diwani wa eneo husika. Mh Lema unapenda sana mgogoro, hebu tumie vikao halali kujua nini hasa ukweli wa jambo lenyewe.
Kwa taarifa yako wale woteeeeee ni wapangaji tu...
Hilo mkuu linaashiria Pipo POweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez, popote pale. Big Up Chadema, tetea haki yako mwanamke, hakuna haja ya amani kwenye magusiano kama haki yako hupati. HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
We ni mTz mlalahoi USA? Mwisho wako kuja nyumbani ni nili? Mbona unaandika kama Tx na sio mzalendo? Mafuriko sio Dar tu, hata mikoani na wabunge wanawajibika huko kwenye majimbo yao kwa wapiga kura wao kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.