Search results

  1. nkondo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    niko kwimba nataka nibadilishane na mtu aliyeko moshi vijijini au same
  2. nkondo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kutoka kwimba kwenda moshi vijijini au same
  3. nkondo

    Vumwe Vwa Vaathu

    Kishumba kihohi
  4. nkondo

    Kuhusu Mgombea mwenza wa UKAWA

    eti ccm ni ileile mbele kwa mbele mtama mwaka huuu lazima mzikwe l e
  5. nkondo

    Benson Bana: Taifa linahitaji kiongozi mwenye maadili

    wasomi watanzania ni waoga maprofesa wetu hawawezi kusimamia kile wanachoamini wanaongea kikasuku kwa kusifia tabaka tawala wanasahau kuwa elimu walizonazo zinatakiwa kutumika kulikomboa taifa ila wao waseme tu WATANZANIA walio na elimu ya kawaida watawakomboa hata maprofesa kwa kuichinja ccm...
  6. nkondo

    Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila

    kaka tunachotaka ni mabadiliko hizo zote porojo kama vipi wewe kalale au kaa kimya sisi na mabadiliko haturudi nyuma
  7. nkondo

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    mwacheni slaa amechanganyikiwa alimsalliti Mungu akaacha upadri akaoa ona sasa mambo ya ndoa yanavyomsumbua mwanaume unakosa msimamo mpaka mke wako akuamlie?
  8. nkondo

    Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    watajazana sana ila kura kwa lowassa watu wanaenda kuchukua pesa na kuona wasanii
  9. nkondo

    Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

    Kila kukicha naomba Lowassa awe raisi kuna kundi la watumishi wa umma {WALIMU} wanatia huruma wanaonewa lakini hawana mtetezi nalia naumia nasikitika halafu CWT nao wasivyo na huruma wanaungana na serikali kuwatesa walimu nasikia wamekopesha serikali inauma mtu anayekutesa unamsaidia? walimu...
  10. nkondo

    Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

    MAGUFULI uko sawa hatuna shida na wewe shida yetu ni CCM haki ya MUNGU ungegombea chama kingine ningekupa kura yangu ila kwa ccm nisamehe bure tumechoka kama unavyosema na wewe umechoka toka huko uje tusaidiane mabadiliko maana hamna namna nyingine sasa waondoke tu
  11. nkondo

    VUNJA-MBAVU: Staili Tofauti za CCM za Kuomba Kura 2015

    Kazi ipo sijui baada ya uchaguzi itauwaje
  12. nkondo

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania wanapenda kulamba nyayo za watawala kwasababu ya umaskini wa kipato, fikra na upeo chagueni mabadiliko mpate ukombozi wa kweli ili muwe na fikra huru zitakazoweza kuwasaidia kutetea weledi wa taaluma zetu sio kupotosha na kudanganya umma
  13. nkondo

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Tatizo kubwa la baadhi ya watanzania wanapenda kulamba nyayo za watawala kwasababu ya umaskini wa kipata, fikra na upeo chagueni mabadiliko mpate ukombozi wa kweli ili muwe na fikra huru zitakazoweza kuwasaidia kutetea weledi wa taaluma zetu sio kupotosha na kudanganya umma
  14. nkondo

    Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Karibu tanzania mpya tumaini la kweli mabadiliko ya uhakika peopleoooooooooooooooooooooz
Back
Top Bottom