Orodha si hoja HOJA ni mpangilio wa kuwajaza haujafuatwa wa CUF Maalim wamechambuliwa na kuweka pembeni na waliojazwa na CUF lLipumba japo wanatokana na orodha ile ile
Hakika wachache sana watakuelewa Pasckal katika huu uzi. Nilianza kupata kichefuchefu lakini taratibu nikaona mwangaza unachokusudia kukikesema. Ila nina hakika maudhui yako umeyaficha sana. Asante inanikumbusha "the liver between" ya Ngugu wa Thiongo
How are you going to fight corruption while YOU SEEM TO BE CORRUPTED in the first place {mwenzi wako atatoka, wewe badala ya kumbana mwenzi wako unambana anayetoka naye UMEJIONGEZA VYA KUTOSHA KWELI}
Hili zasa si tope la udongo ni kinyesi. Inamaana mbwembwe za Dodoma zinauhusiano na milioni sita kushuka hadi milioni tatu. Usikute hata huu uzi mtu kavuta KALAKI KAKE
Mjadala huu nimeupenda ila ingependeza sana wachangiaji kuchangia kwa lugha za staha na upendo ili kuelimika badala ya lugha kavukavu za kutaka kushinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.