Search results

  1. IHANGILO

    Napinga kwa nguvu ya hoja sheria ya vyama vya siasa

    Hili ni lakuoigia kelele kwa nguvu zote maana siraha ya mnyonge ni kelele..
  2. IHANGILO

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Ukikiona cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
  3. IHANGILO

    Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Warudi watazame walipojikwaa wang'oe kisiki. Kama hawajui walipojikwaa wawaulize.
  4. IHANGILO

    ITV Wamekaushia Press Ya Lissu,Kesi ya CUF na Ya Lema

    Kwa ujumla ITV ya leo si ile ya mwaka Jana kurudi nyuma.
  5. IHANGILO

    Mzimu wa "Bunge Live" wamwandama Nape

    Siri Kali, sijui wanatuficha nn. Zanzibar wanarusha baraza live.
  6. IHANGILO

    Ajira ualimu 2015

    Nikipande cha Simba Chawene akiwasilisha hotuba yake ya bajeti ya mwaka 2016/2017
  7. IHANGILO

    Maelfu wahudhuria mkutano wa Kinana, atoa majibu kuhusu kiwanda cha chai, Bumbuli-Tanga

    kuanzia dakika ya pili kinana anatoa amri kama nani bado ni ulaghai na usanii
  8. IHANGILO

    CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    asanteni mwanza kwa kishino hicho wajikusanye mwigulu, kinana, na baba yao...
  9. IHANGILO

    Godbles Lema aondoke Arusha hii! I see the decline of Arusha under him

    Hamjui hujuma zinazo fanywa na serikali ya ccm eti kukomoa majimbo yanayo ongozwa na upinzani mjinga peke yake ndiye anaye weza kutotambua hujuma dhidi ya Arusha
  10. IHANGILO

    Wabunge wasiokaa kwenye majimbo yao

    Still yet mnamchagua akiwapa unga
  11. IHANGILO

    Wabunge wasiokaa kwenye majimbo yao

    Hahahaaa
  12. IHANGILO

    Mdahalo wa Mwl.Nyerere foundation kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Ubungo Plaza

    Lo! kweli leo elimu imetolewa. Hebu walo tia pamba masikioni na wanadhamana ya kuinasua nchi katika mkwamo huu watoe pamba hizo wasikie kile kinacho zungumzwa na wataalamu.
  13. IHANGILO

    AJIRA ZA WALIMU WAPYA: Ni vitu gani muhimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti?

    komekaone;8921164]Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule husika. Tunaomba mtujuze mapema itatusaidia kuandaa mapema, na pia itatuepushia...
  14. IHANGILO

    Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

    Mtoa hoja weka kumbukumbu zako sawa siku 14 zilitolewa kwa watuhumiwa wawe wamewasilisha maelezo yao. Hapakutajwa siku 14 ndo maamuzi yatatolewa.
  15. IHANGILO

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    sina mengi lakini tujue kuwa, debe tupu halikosi kutita!
  16. IHANGILO

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mkuu ndivyo walivyo hao, kumbuka hata katiba ya sasa wananchi waijui kunasehemu mimi nilifika nilishangaa mwenyekiti wakijiji hajawai hata kuona langi ya kava ya katiba nilipo mwonesha akabaki kutoa macho huku kavaa tisheti yake ya Hari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya huku kichwani ameweka kofia...
  17. IHANGILO

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mwigulu, sina mengi, bali nakupa pole siku utakapo tambua na kung'amua yaliyohini ya kapeti utabadilika. Kweli kunamsemo usemao "mnyime elimu umtawale" Usijidanganye kuwa hao watu walikuja nikwajili ya mwigulu wamekuja kutazana simba, amini moyoni mwao hauna mashiko kama ungekua unajiamini kuwa...
  18. IHANGILO

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Wanajavi hapa tujue tunachezewa ngoma ya mdundiko tu, hawa watu wanajulikana na serikari inawafahamu kabisaaaa...!! na JK anamajina kabisaaaaaa.......!!! sasa tujiulize maswali yafuatayo. 1. Kwanini mkuu wa nchi anayetakiwa kusimamia sheria za nchi zitekelezwe ipisavyo na kulinda laiya kayaweka...
Back
Top Bottom