Lipumba anatoa pumba kama jina lake hawezi kufanyikiwa kisiasa mie namushauli aombe kazi ya kufundisha vyuo vikuu siasa hawezi myu ambaye akubaliki kwao atashindaje
from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kitu kidogo sana kama mtu anaweza fungunga camera dukan akaona matukio yote kwenye duka kwa nini isiwezekane kwenye mkutano?kuna vifaa vya kisasa ambavyo vinafanya kazi vizur tu kama munalipua mabomu lipueni tu lakkini camera sitawanasa tu
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Namuagalia huyo mtu kama ni mzee Namuelewa lakini kama ni kijana nakuwa na wasiwasi naye kuhusu uelewa wake manake uelewa wake mdogo sana
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wabunge wa ccm kama wamelogwa, kwa zile point kali namna ile then anaunga mkono hoja aiingii hata kidogo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kesho c mbali kitaeleweka tu na nadhani inabidi eleweshwe vizuzuri maana ya ugaidi make kama njama za kutaka kuteka mtu wa kawaida ni ugaidi basi hapa Tanzania magaidi wengi sana japokuwa sheria hazifanyi kazi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.