Ningeona ubora wake iwapo angewatafutia ajira vijana wa Lumumba kwenye mabenki ili kupunguza jam humu JF maana kule watu wapo busy hakuna muda wa kuja jf kutema pumbapumba ..7,000 x 28days = 196,000/= wangelipwa hata 250,000 kwa mwezi wawe serious kidogo
1. Jamaa ampa talaka mkewe kwa kuonyesha aibu kubwa na kugomea unyumba kwa mwaka mzima
Mahakama moja huko Tainan (Taiwan huko) ilikubali maombi ya bw. Chen 38 kumlima talaka bi. Lin 29 (wote walimu) baada ya kuwa aibu ya hali juu na kugoma kabisa kutoa unyumba na wakati wa kulala alikua...
......Mbunge mmoja hapa, katika ubora wake wa ujinga wa hali ya juu kabisa....anamuomba Spika kwa hisia kali kwamba amalize tatizo kubwa sana la Parking za magari ya Wabunge....anadai ni tatizo kubwa mno na linalokera sana......na anataka majibu ya Serikali. Mbunge kama huyu atanitia jela mapema...
tumefanikiwa hasa kwa wizi wa kila aina...kweli Mwenyezi aliwajalia Waisrael katika vita, lakini Tanganyika ndani ya Tanzania tumejaliwa zaidi katika mbinu za kuiba.... Baba kamuibia mwanae, mke anamdalalia mumewe gari...duh Bongo raha
Ni ndo mwanajeshi wa kwanza kufariki kwenye hili Taifa ?? au mwana wa Jullius ?? wengine ndo tunatua hii ardhi sasa hivi...... mods hebu sogezeni hizi habari kwenye jukwaa la mambo mengine
UMENIFANYA NI GOOGLE...
Waswahili wa Tanga wana kauli yao Maarufu itokanayo na Laghaja za Kimtang'ata isemayo "Usinene ukamara (usiseme ukamaliza)" ambayo wanadaiwa waliitohoa kwenye Kauli Maarufu ya Sheikh Thabit Kombo ambayo alipenda kuitoa kusisitiza busara ya kufanya maamuzi na subira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.