Search results

  1. Umslopagazi

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Nimechekaje!! Namuonaga anavyochoka, hadi namuhurumia kwa kweli, hawana jipya
  2. Umslopagazi

    Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    kama alikuwa halambi kitimoto, ataanza kulamba tu
  3. Umslopagazi

    Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

    Kwa hiyo??? Toa maujinga yako hapa!!
  4. Umslopagazi

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Halafu ni washkaji kinyama!!
  5. Umslopagazi

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Sio jibu sahihi, kwa nini tukeshe tunabuabudu na kutoa sadaka? Kama vipi si asingeumba tu huu ulimwengu!! Watu wanatupiga hela sana kwa kutumia imani.
  6. Umslopagazi

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Pia kwa nini atuumbe halafu atulazimishe kumuabudu na kutoa sadaka, kwani tusipomuabudu yeye atapungukiwa na kitu gani? Au atafirisika??
  7. Umslopagazi

    Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Kitabu hicho si kimeandikwa na watu tu!! Au ndio unataka kuleta hadithi ya kwamba "Kimeshushwa" hakuna kitu kama kushushwa.
  8. Umslopagazi

    Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Hakuna dini ya ovyo duniani kama wavaa vipedo
  9. Umslopagazi

    Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Tunamuongelea kichaa Lema hapa, sio mtu mwingine ebo!! Nyumbu banna!!
  10. Umslopagazi

    Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Lema tayari afya ya akili imetetereka , yaani yuko Mirembe day.
  11. Umslopagazi

    Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

    Hilo jina la pili sasa, Ni Jesca Msambwa...
  12. Umslopagazi

    Nimeota nakimbizwa na simba

    Na wewe mkimbize
  13. Umslopagazi

    DOKEZO Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Kumbe na wewe ni mmoja wapo!! Unasema ndugu yako!! Sasa tuambie unapatikana pande zipi tuendelee na wewe!!?
  14. Umslopagazi

    Mrembo wa Vidonge aitwa BASATA baada ya kupost video chafu mitandaoni

    Are serious!? Hilo jisura baya ndio unamwita mrembo!!
Back
Top Bottom