Search results

  1. F

    Zambi mbunge machachali amchana waziwazi mwenyekiti wa bunge

    Kudhani kuwa CDM ndiyo wazalendo, umechemka maana nchi ni ya watanzania si CCM wala CDM
  2. F

    Serikali 2015

    Assume umepewa jukumu la kupanga serikali ya Tanzania 2015 1. Baraza la mawaziri litakuwa na Wizara Ngapi? 2. Je utaendelea kutumia NAIBU WAZIRI? 3. Wizara ya Fedha itaendelea kuwa Fedha na Ucchumi au ya uchumi utaiunda upya? 4. Waziri Mkuu atakuwa bado msemaji au mtendaji? Nadhani wengi...
  3. F

    Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

    Kuna watu mna shida sana mjini na hizi NETWORK kuwa za mia mia ndo basi tena! Ni kukurupuka tu na majungu. Fanya kitu kimoja Tenganisha, chuki, majungu, tuhuma na utaalamu then Uje tena labda utapata wasikilizaji!!
  4. F

    JF Focus: Side Comments: Exclusive Interview with JamiiForums founder - Maxence Melo

    Hivi ni kwa nini JF isiuze SHARES then ijiendeshe kibiashara badala ya kuomba kuchangiwa kama KANISA au MSIKITI? Hapa ni great Thinkers, why mje na old model ya kupata fedha instead of going into Business?
  5. F

    UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Kinachowavuruga wakuu wa Mikoa na wilaya ni kuwa 1. Kazi yao hawasomei popote ha hakuna qualification 2. Hawagombei kuwa wakuu bali hupewa kwa sababu zingine 3. Ni cheo ambacho kipo tu na inabidi mtu awepo 4. Matakwa yanayotimizwa na ya watu waliokuteua ndiyo maana SEKRETARY wa TAMISEMI ni...
  6. F

    Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    Acha kupoteza muda wa watu na SIASA zako za MAKALIO!
  7. F

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Mbona hesabu ni rahisi 29 kata =100% 5/29 = 17% CDM 1/29 = 3% TLP 23/29 = 80% CCM asa hizo hesabu za sijui miezi 24 imtoka wapi na hakuna cha kulinda hapo ilikuwa kugombea kata 29.
  8. F

    Diwani wa CHADEMA Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

    Hizi siasa za CDM na Tanzania mbona Kichefuchefu? CDM isiposhinda ni NONGWA ikishinda NONGWA nyie mwataka nini? Mtaanza kulana wenyewe kumbukeni mmefikia pabaya ambapo wa kuwarudisha nyuma ni akili binafsi ama sivyo sioni kama mnajijua mnakoenda!!
  9. F

    Raia wa Tanzania (mtanzania) ni nani?

    Wana JF! Kuna wigu unaingi machoni kwangu kuona kama kuna watu ni watanzania zaidi na wengine siyo! 1. Ukihama chama wewe hufai 2. Ukishinda uchaguzi, umetoa rushwa 3. Ukiongea kuhusu imani yako unaleta udini 4. Ukiwa chama fulani wewe hufai 5. Vyama fulani ni vya udini! Swali langu ni...
  10. F

    Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

    Daraja Mbli na Lowassa wapi na wapi, labda kama atagombea Udiwani huko maana hata kama ni Ubunge tu yeye ni wa Monduli! Ngoja nipunguze Jazaba!
  11. F

    Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

    Halafu we PUMBAFU yaani unajiunga leo na kupost Utumbo wako? Au ndo uliyekwidwa Lumumba Jana? Majeraha ya SIASA ni hatari sana! Moderators, msiruhusu JF iwe sehemu ya kuombolezea!
  12. F

    Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

    Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?
  13. F

    Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

    Kama mambo ndiyo haya, kwa mtu aliyekuja CDM kutoka CCM makmruzuku hadi cheo cha Mlezi wa Chama kwa mikoa kadhaa, Leo amejitoa mnaona kama alikuja kutafuta ubunge, hafai kuwa kiongozi hata kidogo, ni mlafi na kadhalika. Kauli hizi zinasadifu 100% yale aliyosema Nyimbo mwenyewe kuwa CDM hakuna...
  14. F

    Thomas Nyimbo, ajitoa CHADEMA!

    Hivi nyie CDM mnaona ubaya wa nyimbo baada ya kujitoa. Jamani sifa zake mpeni, kama katoka why mseme mabaya yake leo siku zote mlikuwa wapi? Huu unafiki ndio unaowamaliza. Mi simo na siasa zenu za majitaka!!
  15. F

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    Habari ndo hiyo! Kata 29 CDM wanashinda 2 then unasema 2015 mtashinda? Mimi si mwanasiasa lakini hili linanihusu!
  16. F

    Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

    ZITTO wa hivi hivi! AMtaje nani hapo zaidi ya kuijsheua! Hakuna mtu kaficha hela Uswisi bali watu wameweka hela nje ya nchi kwa sababu sheria zetu zinaruhusu bali zinazuia hela kuingia Tanzania!! Ni sawa na Mtu katika Familia yako unakubali Mkeo akazae huko Nje na watoto awaache huko huko na ni...
  17. F

    Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

    Nilisoma kwa shauku kubwa, kumbe nimegundua nyie tatizo lenu ni dogo tu 1. Ama mlitafuta madaraka kwa RUSHWA lakini hela yenu ikawa FUPI 2. AMakwenye mgao wa RUSHWA ya mnaoita MAFISADI mi nawaita WAPIGANAJI mmepata kidogo Akili yenu fupi kama Mavi ya Mtoto mwenye tatizo la kubana tumbo...
  18. F

    Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    Tatizo si kutumia kwa wananchi wa pembezoni mwa ziwa, mtaendelea kutumia hadi YESU arudi tatizo lililopo sasa ni kuwa MALAWI wanafanya utafiti wa GESI, MAFUTA na URANIUM na iko hypothesized kuwa kuna kiwango kikubwa cha Gesi na Mafuta. Hapo ndipo Utata ulipoanzia!!
  19. F

    Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

    Hivi kwa nini mimi siwezi kupost zaidi ya kukomment au ndo BAN au ndo sijatoa hela au ndo?
  20. F

    Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

    Nilichokuwa namfurahia Cool-9 wakati huo nikiwa Primay, watoto tukienda SAMORA kuangalia LIPULI, basi mnasikilizia Bratha KUL aje akifika wote mwaingia BURE ATI!!!
Back
Top Bottom