Search results

  1. maulaga

    Mwigulu Nchemba na Tuhuma za Ugaidi wa CHADEMA

    Magazeti ya UHURU na Mwananchi leo tarehe 14/9/2011 ya mebeba tuhuma nzito zilizotolewa na mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mbunge wa moja ya jimbo mkoani Singida, kwamba CHADEMA wamepeleka vikundi vya kigaidi huko Igunga vikiwemo vikundi kutoka nje ya nchi. Tuhuma hizo ni...
  2. maulaga

    CCM na itikadi ya ujamaa na kujitegemea

    Nimestushwa na kushangazwa sana na kauri ya katibu mkuu mpya wa CCM bwana Wilson Mukama aliyoitoa akiwa Zanzibar akidai CCM ina itikadi ya ujamaa na kujitegemea na kutangaza ati CHADEMA hawana itikadi. Hivi kweli Mukama hajui kwamba itikadi ya ujamaa na kujitegemea iliuwawa hukohuko Zanzibar...
Back
Top Bottom