Search results

  1. M

    Mgambo wavamia gari iliyobeba watalii wawanyang'anya camera na kuendesha gari lenye watalii Arusha

    Katika hali isiyo ya kawaida leo mchana mida ya saa saba katika barabara ya Uhuru mgambo waliokuwa wanatembea kuelekea ofisi ya mkuu wa wilaya wakiwa wamevalia tshirt nyekundu walivamia gari mali ya kampuni moja ya utalii hapa Arusha wakamtoa dereva kwa nguvu kwenye usukani na wengine kuwavamia...
  2. M

    Bunduki ya Jeshi la Polisi Tanzania yatumika kwa ujambazi Narok Kenya

    Arusha Watanzania watatu wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro, Arusha waliuawa kwa tuhuma za ujambazi huko Narok, Kenya Mei 2, mwaka huu na kukutwa na bunduki aina ya ‘Sub Mashine Gun’ (SMG) ambayo inasadikiwa kuwa ni mali ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  3. M

    Rushwa TRA makao makuu Arusha

    Pale TRA makao makuu Arusha unapoenda kulipia gari yako leseni ya barabarani(road license) ukishakamilisha mchakato wote ikiwa ni pamoja na malipo hawakupi ile sticker ya kubandika kwenye gari wanakwambia njoo baada ya wiki mbili ndio itakuwa imetoka lakini ukiwapa rushwa ya tsh 10000 inakuwa...
  4. M

    Ushauri wangu wa bure kwa viongozi wa CCM baada ya mlipuko wa Bomu Arusha

    Katika hili lililotokea Arusha viongozi wa CHADEMA kwa haraka wamejitahidi kuonesha mshikamano katika kipindi hiki kigumu baada ya kutokea mlipuko wa mabomu huko kanisa la St. Joseph Olasiti Arusha. Kwa hali ya kawaida CCM kama chama ambacho kiko madarakani kingetakiwa kuwa cha kwanza...
  5. M

    Mazishi ya clouds fm facebook page

    Katika pitapita yangu nimekutana na hii page facebook imeanzishwa alhamisi lakini hadi leo ina wafuasi 5000 hii ni kusema watu hawaitaki tena redio inayoonekana kukubalika na watu wengi au hujuma?page yenyewe ina lenga kuinua maslahi ya wasanii kwa kuelezea mabaya ya redio clouds inayooneesha...
  6. M

    Mabomu yarindima chuo cha uhasibu Arusha IAA baada ya wanafunzi kugoma

    Kufuatia tukio la kuuawa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha jana usiku, wanafunzi wameanzisha mgomo ambao umepeleka FFU kupelekwa chuoni hapo ambapo hadi sasa wanawatawanya wanafunzi hao kwa mabomu ya kutolea machozi. Wanafunzi wanasisitiza serikali kuchukulia hatua madai yao ya usalama...
  7. M

    Utendaji wa Polisi wa usalama barabarani Tanzania

    Nimekuwa makini sana kuangalia namna Polisi wa usalama barabarani maarufu kama trafiki wakifanya kazi zao nchini Tanzania, wamekuwa wakifanya kwa ajili ya matumbo yao na sio kwa ajili ya usalama wa watumia barabara au wananchi, nimegundua uzembe mkubwa sana unaoashiria hawa jamaa hawapo kikazi...
  8. M

    Wakazi wa Dar es Salaam na uoga wa kushabikia vyama vya siasa hasa vya upinzani

    Habari za leo ndugu nawakilisha hili kwenu, nimekuwa nikijiuliza kwanini upinzani unakuwa na nguvu kubwa sana mikoani badala ya Jijini Dar es Salaam, kama ilivyo mapinduzi ya nchi nyingi mabadiliko huwa yanaanzia ulipo mji mkuu kwa sababu mbalimbali ikiwemo miundombinu na rasilimali watu, lakini...
Back
Top Bottom