Search results

  1. reynod

    Sofa ya bei ndogo inahitajika mbeya.

    nipo mbeya nahitaji makochi ma3 au mawili ya sofa.kwa bei za maelewano, kama wewe ni fundi au unamfaham fundi mzuri nitumie sms kwa namba 0653297890.
  2. reynod

    Research topic kuhusu Public Administration

    Natarajia kufanya research kuhusu public administration naomba kama kuna mtu anazijua topic ambazo research inaweza kufanyika katika hii field anitajie, napata shida kuchagua.
  3. reynod

    i need a very serious girl

    am 28 yrs naitaj a girl alie seriaz kuolewa after 8 months.elimu yake kuanzia form 4 and above dini ya ukristo km nyingne uwe ready to change. i hv a degree na nipo kazini.sent me PM, then nitakutafuta.
Back
Top Bottom