Search results

  1. Zwangedaba

    Uuzaji wa Mumiani (Maiti za watu wa kale)

    Kipindi cha miaka 1800 wakati wa ushindi wa Napoleon huko Misri ulifungua historia ya Misri kwa Wazungu. Wakati huo, mumian hawakupewa heshima waliyostahili kutoka kwa wasomi wa Ulaya na kwa kweli, mumiani waliweza kununuliwa kutoka kwa wachuuzi wa mitaani - WAMACHINGA (kama inavyoonekana kwenye...
  2. Zwangedaba

    TRA ni kiboko sasa

    Inategemea na hotel unazo lala wewe ila umesema ni short time basi hizo zitakuwa zile za elfu nne. Lakini kitu kinachoitwa hotel unalipa siku unaondoka tena watu tumekaa hadi wiki mwezi lakini tunalipa siku ya kusepa. We sema tu huwa unalala hotel/lodge za aina gani?
  3. Zwangedaba

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Kibodeko, Gezaulole, El-Jabiri, Yaa Ali na Ya Mohammed (haya bado yapo Kigoma Bukoba),
  4. Zwangedaba

    Hali mbaya: Hospitali ya Kairuki yashindwa kulipa mishahara ya Januari

    sio logo tu hajui kama hizo ni internal memo, na sahihi ya mkurugenzi ni tosha.
  5. Zwangedaba

    Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    baada ya form four nikaajiliwa na Tanroads kama kibarua kubandua lami! hiyo kazi sitoisahahu kamwe.
  6. Zwangedaba

    Nimetumiwa Faida Na Vodacom M-Pesa

    mie wanitumia TZS 3,186
  7. Zwangedaba

    Pongezi kwa askari polisi wa Posta

    Kipindi kile cha mgomo wa daladala huku mitihani ya form six ikiendelea kuna mmoja pale Makumbusho alikuwa anawakodishia bodaboda na bajaji ili wawahi mitihani!
  8. Zwangedaba

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Inakaukweli fulani ila kulinganishanisha senario ya vita ya Kagera na siasa za upinzani ni imposibo. hali ni tofauti kabisa mapambano ya kisiasa yanasimama katika ujengaji wa hoja na sio chuki wakati vita inabeba mambo mengi ikiwemo chuki na ndio maana katika vita unachukua kila silaha kwenda...
  9. Zwangedaba

    Elections 2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    Na TB Joshua nae yumo, si aliwahisema ENL ndo raisi wa awamu ijayo Tanzania.
  10. Zwangedaba

    January Makamba acha mchezo huu mara moja

    mie pia nililipata hilo msj. Na nafikiri hii inadhihirisha level ndogo ya kufikiri kwa huyu jamaa. HAFAI.
  11. Zwangedaba

    Matumizi ya umeme miaka 8 kwa Mtanzania, Ni sawa na mwezi mmoja Mmarekani

    Kama ni hivo poa! Lakini ameseme "average Tanzanian" maana yake nilivomuelewa wenye uwezo so walio below average hajwainclude. Vinginevo ni upuuzi kugawanya kwa population yote na hii ndio inawafanye waimbe kuwa uchumi wa Watanzania umekua kumbe ni jamaa wachache wanaohodhi asilimia kubwa ya...
  12. Zwangedaba

    Matumizi ya umeme miaka 8 kwa Mtanzania, Ni sawa na mwezi mmoja Mmarekani

    HUYO average Tanzanian anawasha energy seva moja kwa masaa 2 kila siku labda!!
  13. Zwangedaba

    Wizara ya fedha na TRA kaeni mtuonee huruma watanzania tozo za kuingiza magari ni kandamizi

    Cha kushangaza ni pale magari yaliyo below 8yrs kwenye calculator yao unaambiwa CIF ni $7,500 wakati wauzaji mfano Beforward wao CIF ni $4,200. Hapo inakuwa sawa na kama wanavoweka Excise Duty due to Age kwa magari ya zaidi ya 8yrs!
  14. Zwangedaba

    Lowassa hayumo 5 bora ndani ya CCM

    Huyu si alisema Watz saizi yao kuuza juice na maji..... umekula maharage ya wapi wewe ndo umpe nchi etiii eeh........... Mh haya!
  15. Zwangedaba

    Lowassa hayumo 5 bora ndani ya CCM

    Thanks GT Donybeny naomba muleze na huyu Ulimakafu!!!
  16. Zwangedaba

    Lowassa hayumo 5 bora ndani ya CCM

    sirjohn Hizo Asilimia zinaendanje naona kama sikuelewielewi make mwisho wa siku zinakuwa jumala 377% au kuna mfumo tofauti umeutumia hebu iweke sawa pleae kwa maelezo huru!
Back
Top Bottom