Wana JF ebu tuwe wakweli siku hizi hakuna mtaalam wa kutongoza,wanawake sikuhizi hawaitaji watalaam wa kupanga maneno bali wataalam wa kupanga minoti na starehe za kila mara. kila mschana anakiwango chake cha fedha na starehe anazostaili.Kama kuna demu anakusumbua mdanganye na kwenda-out utaona...
Kwakweli mimi nitashangaa sana kama Uwanja mpya haitaitwa, Benjamin Mkapa Nation Stedium. Kwani pamoja na ukweli kwamba kuna maovu yaliyofanywa na huyu bwana mkubwa, hili la kujenga uwanja ni jambo jema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.