Search results

  1. FUJISTU

    Green Card lottery ni tarehe 6 Oktoba 2022, kaeni mkao wa kula

    Kila nikifanya application step one nikimaliza kufill kila kitu kwenye ku submit inaleta hii error, na internet yangu iko vizuri kweli kweli niko kwenye fiber, kuna anayepata hii error pia??
  2. FUJISTU

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Wiki tatu kutoka Hatua ipi?? Ya kulipia kila kitu gharama za awali na kurudisha form?? Au mchakato mwanzo mpaka mwisho?
  3. FUJISTU

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Mhanga hapa, its May 2022, and 45 Days zimepita tangu nianze mchakato wa kufatilia mkopo wa biashara, niko Morogoro, yaani 45 Days tangu siku ambayo wamekuja kunitembelea Ofisi na Dhamana na kwa upande wangu nimefanya process kwa uharaka sana, i.e kupeleka viambatanishi vyote pamoja na kulipia...
  4. FUJISTU

    Milioni 22 ninunue gari ninayoipenda au nichukue IST kwanza? Sijawahi kumiliki gari

    Rav 4 Masawe ndo gari gani hilo??...Majina ya kitaa bhana dah
  5. FUJISTU

    Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya kuhusu Nissan Juke

    I can't just imagine someone looking at Nissan juke and be like " Ha, I must get that one, its attractive"
  6. FUJISTU

    Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya kuhusu Nissan Juke

    Who even thinks of buying Nissan Juke ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
  7. FUJISTU

    Fundi Mzuri Dar wa Masuala ya Umeme, Diagnostics/Repair Sensors/Circuits etc

    Habari wakuu, Naulizia fundi mzuri wa kurekebisha masuala ya umeme kwenye gari, kuna gari (Honda CRV) inawasha taa ya check engine kama baada ya dakika 5 baada ya kuanza kutembea, nimefanya diagnostics inaleta error ya MAP Sensor Circuit,,,,naomba mawasiliano ya kupata fundi mzuri wa masuala...
  8. FUJISTU

    Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

    Ukiwa huna hela siku zote lazima uone kama wenye nazo wanazitumia vibaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  9. FUJISTU

    Najuta kwanini niliuza gari yangu

    aisee nimecheka saaanaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  10. FUJISTU

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ au Muuzaji nae hajui anauza nini, "Gari aina ya Lexus RX 350 lenye Engine ya Toyota Harrier 2.4L 2AZ"..... No bruh, its Toyota Harrier with Lexus Labels outside
  11. FUJISTU

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Toyota Harrier 2.4G yenye Labels za Lexus RX350 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ FOH
  12. FUJISTU

    Exhaust ya gari inapumua/inapuliza upepo kwa pressure kubwa, tatizo linaweza kuwa nini?

    Wakuu habari, exhaust ya gari yangu inapumua kwa pressure kubwa sana ya upepo, pia mafuta inatafuna sana kuliko kawaida, ranging 5km/litre na gari ni honda cr-v 1998, tatizo linaweza kuwa kwenye nini??
  13. FUJISTU

    Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

    matumizi mabaya ya pesa na huku anaemiliki anaweza kuafford??? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  14. FUJISTU

    Natafuta Exhaust System ya Honda CR-V 1998

    On it mkuu, thanks a lot
  15. FUJISTU

    Natafuta Exhaust System ya Honda CR-V 1998

    Balaa sana mkuu
Back
Top Bottom