Search results

  1. M

    Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Dahh afadhali naweza fuatilia EPL sasa.
  2. M

    Ombi langu kwa wamiliki wa TV stations

    Peleka jukwaa la biashara
  3. M

    Hofu ya Rais Kikwete na CCM kwa ujumla

    Magufuli alikua haelewiki ni mpinzani au mCCM maana mara Mikopo ,mara makabial yote hakuwa Organized kiukweli na sjui ni kwann kwanin wasijifunze kwa kina Obama wanapokuwa wanazungumza na wananchi
  4. M

    Watu wa Iringa mjini msipomrudisha Msigwa bungeni hatutawaelewa

    We mbon kama Msengerema au hutokei huko, Iringa unakujuaje ndugu
  5. M

    UKAWA wajifunze kwa CCM ili wakomae kisiasa na kuacha uanaharakati

    Nyooo!!!!!!!!!! kumbe ni wewe, huna jipya. utakalia kuwanga bint mdogo shauri yako ukifanikiwa kuwa bibi utakuwa kachawi au kiongozi wao. Wew mbona huna cheo chochote kama democrasia ipo. Kalaga bao
  6. M

    Stephen Wassira jipime kwa hili

    Swali lako ni lipi sasa
  7. M

    Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    mbona Jimbo la Ismani kama halitembelewi na viongozi wa Kitaifa kama maeneo mengine ukimwondoa sosopi ambae ni nyumbani kwao. Tunapenda hamasa hii ifike pia Ismani
  8. M

    Joseph Mbilinyi alivyowadanganya wananchi wa Mbeya 2010 ili apate ubunge

    Sawa, Ehe nyie mnahoja ipi sasa kurejesha jimbo
  9. M

    Magesa Mwita aachana na siasa za kihafidhina za CHADEMA, aelekea ACT-Wazalendo

    Kwani huyu si ndo alikua Rais UDSM mwaka 2006/2007 au sie, mbona wakawaida sana CDM alikua na wadhifa gan au anataka kick ya kutokea
  10. M

    Maaskofu: Kataeni Katiba

    Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya "hapana". Taarifa iliyotolewa na Jukwaa hilo jana na kusainiwa na...
  11. M

    Songea: Wakati Wasira akilakiwa na Nape Nnauye, wengine waingia kimyakimya

    Wasira amelifanyia nini Taifahadi tumwamini, Uadilifu, Kutokupenda Rushwa na mengineyo ndo misingi ya kiongozi yeyote, tunataka mambo yapekee aliyolifanyia taifa ambayo ni plan yake (Unique plan)na taifa likanufaika.
  12. M

    Mheshimiwa Msigwa, Tuambie kwa nini ulikaa kimya wakati serikali inapoteza mapato?

    Msigwa umeanza kuvimba kichwa, uswahiba wako na nyalandu usiwe ndo kufumbia macho uovu wa serikali na kujifanya kipofo, real we are watching you, kunasiku nimekuskia ukipongeza sana jitihada zake lakin humkosoi anapo potoka kanakwamba nawe ni part ya serikali, tambua kuwa wewe ni oposition...
  13. M

    Maandamano ya kisiasa yapigwe marufuku mabarabarani na mitaani

    Akili za kubustiwa ndo matatizo yake, Ulaaniwe wewe na nzige wenzako kama wewe
  14. M

    Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Nikwamba aliwapelekea taarifa polisi tokea tar 22/01/2014 wakakaa kimya na Cuf wakaendelea na maandalizi na kukamilisha taratibu zote za mkutano na maandamano, jana asubuhi pori ndo wakaja na katazo lao lenye sababu kibao, na Prof akatii katazo akiwa katika zoezi la kuwatawanya wafuasi wake...
  15. M

    Jamani askari wetu, ioneeni huruma Tanzania, ikichafuka sote tutaangamia

    Polisi wadogo ni kama mmbwa tu, wao hawanauwezo wa kuhoji wala kupinga ni utekelezaji tu. Lakini hao mabwanazao nadhani ni suala la muda tu wataja jutia umungu mtu wanaojivika, wao wanadhani wanahati miliki na nchi hii. Polen wahanga wavipigo.
  16. M

    Utabiri kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014

    Nisawa na kuwapa kadi nyekundu wachezaji robo tatu afu kabla nchezo kuisha unatabiri mtashinda gori za kutosha ndio kilichofanyika kwa ccm. Kama kweli mnajiweza weken fair game af mshinde ndo mtakua na haki ya kusherehekea ata kilammoja atakupongezen otherwise n kujidanganya wenyewe
  17. M

    Utabiri kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014

    Unatabiri nini wakati mmeweka mapingamizi kila eneo ilimpite bila kupingwa na mwishowe mshangilie ushindi wa kishindo. wendawazimu huo kutoa upinzani na kujibakiza wenyewe na kujisifu kuwa mnapendwa
  18. M

    Record za utendaji wa Edward Lowassa zinashangaza sana

    Hatumtaki yeye na chama chake, labda wewe na ukoo wako wa panya ndo mnamhitaji mtu asiekemea wizi na ufisadi nchini. Ova
  19. M

    Dhana ya UKAWA katika uchaguzi inavimaliza vyama vya upinzani

    kwan we ndo msemaji wao wahao watu. mapingamizi ni mpango wa CCM kujipitisha bila kupingwa na baadae waje kusema tumenyakua mitaa na vijiji vingiiii wananchi wanaimani na chama kubwa.
Back
Top Bottom