Search results

  1. T

    Natafuta Suzuki Swift au Toyota Platz

    Wadau, ninatafuta moja ya magari tajwa hapo juu! ila zaidi napendelea Swift! liwe na cc si zaidi ya 1,400! liwe lina hali nzuri! nina milion tano na laki tano tu! mwenye nalo anipm picha zake! Ahsante
  2. T

    Kwa hili UDOM nimewapongeza!

    Salaam ndugu zangu. Ni juzi tu UDOM wametoa majina ya watu wa kwenda kufanya usahili kwa kada za wanataaluma na waendeshaji. Kilichonifurahisha kuhusu UDOM kwa mara hii ni hiki; wametoa mambo ya ubaguzi wa vyuo, kwa kada za wakufunzi wameita watu waliokuwa na vigezo kutoka karibia vyuo vyote...
  3. T

    Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Jamani kuna chuo kikuu kimoja kiko mjini dodoma kinamtafuta assistant lecturer in Accounting and Finance haraka sana na mimi ndiye niliyetumwa kumtafuta mtu huyo mmoja! Sifa zinazotakiwa ni kuwa awe na GPA ya not less that 3.5 at undergraduate level, awe na CPA na at masters level awe na GPA...
Back
Top Bottom