Search results

  1. A

    Polisi Shupavu Akiwa Kazini

    ----;;;;;;;;;;;;;;
  2. A

    Wote wanaoipinga redio ya watu claus fm wana chuki binafsi

    Wasiposikiliza radio clouds wasikilize radio ipi mbona mnatuchanganya?
  3. A

    Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

    freedom is around the corner VIVA CHADEMA :A S 114:
  4. A

    CHADEMA yaicharaza CCM Bumbuli, Tanga

    Dogo J. M ajiandae 2015 kupisha njia.
  5. A

    Ndesamburo kufanya mkutano Moshi kesho

    kila la heri na iwe salama MH; NDESA
  6. A

    Rais Kikwete ameshindwa kuitetea Katiba! Je, sisi wapagani tunawekwa wapi?

    Ni lini Kikwete aliwahi kutoa hotuba yenye mashiko?
  7. A

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Kwa kipindi kirefu watanzania wameendelea kufa kupitia ajali mbalimbali za barabarani, moto, maji na serikali bila aibu inakimbilia kuunda tume za uchunguzi zisizokuwa na tija. jamani viongozi wetu kwann mnatuua kwa uzembe wenu, tunaomba ifike wakati tujenge taifa lenye kuwajibika kwa masilahi...
  8. A

    Maswali yangu kwa uongozi wa CHADEMA

    kasome ilani ya chama utaona mpango mzima
  9. A

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Haya mambo ni ya kawaida kwa serikali ya ccm. si muda mrefu utasikia iundwe tume ya uchunguzi ili kutengeneza mazingira ya posho ( cacity builiding grand) wakati watu wamekufa.
  10. A

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Monica Mbega
  11. A

    Kumbe wanaipenda CHADEMA!

  12. A

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    tatizo la watanzania hatutaki kuelezwa ukweli bali tunapenda kudangaywa na ishazoeleka kwamba mtu mkweli ni adui wa jamii
  13. A

    Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    unasubiri nini kuahamia CHADEMA hujachelewa sana
  14. A

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ni sawa kabisa anafaa kuwa Rais lakini swali ni je atagombea kwa chama gani?
  15. A

    Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    jamani hivi hawa watu wanataka kutupeleka wapi?
  16. A

    CHADEMA in war against the truth

    wewe una ufahamu mdogo kweli kama lugha huiwezi acha. sentensi hiyo inasomeka hivi " THE END DOESN'T JUSTIFY THE MEANS".
  17. A

    James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    jamani watu wengine bwana kazi za Milya zina uhusiano gani na cdm?
  18. A

    Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

    Haha haaaa ama kweli mfa maji haishi kutapata wameishiwa hivi hawa polisi hawaamni kuwa ile picha ni ya kutengeneza?
  19. A

    Kumtoa Msigwa katika kamati ya Bunge, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia?

    serikali imeona ni mwiba kweny masuala ya kuibua wizi unaofanywa na viongozi wa ccm kwenye mbuga za wanyama. kupeleka bungeni suala la kutorosha wanyama pori hai kwenda nchinni Qatar kushiriki mijadala ya mabadiliko kwa kumwelekea waziri mkuu bungeni
Back
Top Bottom