Search results

  1. Menyainganyi

    Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    TRA wamepewa mamlaka ya kimungu nchi hii.. Wao kuua biashara yako ni kwa barua moja tuu..., tayari unapelekwa ICU kama sio makaburi ya Kinondoni.. Ulizeni wafanyabiashara wanavyobambikiwa kodi..
  2. Menyainganyi

    Mikono ya polisi si salama tena kama hapo awali

    Wacha tupimwe tezi dume kwanza ndio tutaacha unafiki wa kitanzania..
  3. Menyainganyi

    Mikono ya polisi si salama tena kama hapo awali

    Hata 2020 , yeye na chama chake hawataungwa mkono.., lakini atapita kwa 101% . . , si anategemea vijana wake polisisiem, TISS, wakuu wa Wilaya na mikoa.., wakurugenzi na Tume yake ya uchaguzi..??!
  4. Menyainganyi

    Tahadhari: TRA wanatengeneza crisis ya mafuta ya kula makusudi

    Wenye akili na nia ya kweli ya maendeleo ya nchi hii wamechoka kuchangia ndugu yangu.., na sio ktk JF tuu.. Hata ktk majukwaa mengine watu wamechoka kupiga domo lisilo leta mabadiliko.. Watanzania ili tuamke tunatakiwa kumwaga damu ya kutosha kwanza..., tupimwe tezi dume.., wake zetu...
  5. Menyainganyi

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Unakosea kufikiri kuwa maandamano haya yalikuwa ya wapinzani..., yaani Chadema au CUF.. Kumbuka Mange alionya sana kuhusu kujihusisha kwao... Lakini kwa kusema ukweli.., kama maandamano haya yangeitishwa na vyama vya upinzani..., hali ingekua tofauti..
  6. Menyainganyi

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Mange ametengeneza CV yake vizuri sana..., sio mwanamke wa mchezo mchezo.. I really adore her.., ni Simba jike kweli kweli.. Na nnafikiri nchi hii wanawake wako strong kuliko wanaume.., look at these super womens..., Mama Kijo Bisimba.., Fatma Karume.., Mange Kimambi..., Carol Ndosi..., Mama...
  7. Menyainganyi

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    No wonder rate ya vijana machoko kama RC, The Mburullaaz, inaongezeka kwa kasi... [emoji35]
  8. Menyainganyi

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Nakuunga mkono..., watanzania.., tena hasa vijana ni wangese sana.. Mtu mzima mimi nimefika Askari monument saa nne..., hakuna mtu.. Hata polisi wamechukia sana.., walikua tayari kutupa support.. Nimeongea na mmoja.., amesikitika kwa kweli... Never trust a Tanzanian...
  9. Menyainganyi

    Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga

    Mungu akubariki sana Shemeji kwa kusema ukweli bila uoga..! [emoji111] [emoji106]
  10. Menyainganyi

    Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga

    Na uzuri wa Kanisa Katoliki huwa halijibu makelele, matusi wala kujibizana na dhehebu lolote lile.. Najifunza sana kutoka kwa hili Kanisa langu..
  11. Menyainganyi

    TCRA kuanza usajili wa wamiliki wa Blogu, Online Forums, Redio na Televisheni za Mtandaoni leo Aprili 21

    Teknolojia inakua kwa kasi ya ajabu... Kwa speed ya Telegram, Firechat na nyingine zinazojaribiwa, Soon Serikali za kiafrika hazitaweza ku control mawasiliano ya mitandao wala simu.. Bora viongozi wetu wangewekeza zaidi ktk elimu kuliko kuwabana wananchi wao ktk mawasiliano..
  12. Menyainganyi

    Lily Tesha amekamatwa na Polisi mkoani Morogoro takribani wiki moja sasa kwa madai ya uchochezi

    Ukiwa ndani ya ccm ndio unaweza kuzungumza kwa kiburi hivi...
  13. Menyainganyi

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Tuta.., Shida ya ccm ni kuua, hata ukiingia huko msomi kabisa na PhD 7 , lazima zigeuzwe kuwa taaluma ya wizi na uongo...
  14. Menyainganyi

    Binafsi nafikiri Wanaume (TZ) ni kama Wanawake, na Wanawake tunawasingizia mengi!

    Barbarosa..., Rudisheni kwanza 1.5 Trillion zetu..., acheni kupotezea.., hii issue ni kubwa lao aisee...
  15. Menyainganyi

    Binafsi nafikiri Wanaume (TZ) ni kama Wanawake, na Wanawake tunawasingizia mengi!

    Umejuaje...? Wee umepata mwingine baada ya Mataka kutupwa jela...?! [emoji23]
  16. Menyainganyi

    ACT Wazalendo: CCM malaghai, Bunge liagize ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya Shilingi Trilioni 1.5 za Watanzania

    Sio lazima ujibu au uchangie kila post humu..., hoja hii ya WIZI wa 1.5 Trillion si ya Zitto.., ni hoja ya OFISI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali... Mwambieni kiranja wenu wa malaika arudishe pesa zetu wee falaa... !
  17. Menyainganyi

    ACT Wazalendo: CCM malaghai, Bunge liagize ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya Shilingi Trilioni 1.5 za Watanzania

    Unatupotezea muda na kutupandisha hasira wee mpumbavu..., nenda FB ndiko kunakopatikana watu wa umri wako na akili zenu...
Back
Top Bottom