Search results

  1. M

    Kuna ubaya gani Zanzibar ikajitenga na kuwa huru kama Zamani?

    hakuna ubaya wowote. tanganyika itaendelea bila zanzibar. ni afadhali ifanyike kura za maoni pande zote halafu matokeo yafuatwe. baada ya hapa. matatizo mengi yaliyopo yatapotea.
  2. M

    Mawaziri wa Kenya wajiongeza mshahara

    Kama haya mambo ni kweli, basi huu ni ulafi wa hali ya juu.Ubepari ni unyama.Haya basi ,na sisi watanzania tukikubali kuendelea au kukubali EAC, SI TUTAKUWA KAMA WAO. Ni afadhali kuachana na EAC. Ongezea kuuana kwao,ugonvi wao wa kikabila,ulafi nk. kweli EAC tutaiweza?. Ukweli ni kwamba...
  3. M

    Kwenda Mpirani au kutembelea mafuriko?

    jamani JK is doing fine. kazi ya urais ni ngumu. tuwe na subira tu. tutafanikiwa.tunawaombea viongozi wetu kila la heri.
  4. M

    Guys nimepata mtoto wa ....

    hongera. dont worry everything will be ok. happy new year.
Back
Top Bottom